What I hate about being a Chagga ni kutojua kiChagga...huwa najisikia am less of a Chagga kila wenzangu wakianza kukimwaga mitandaoni. Inabidi mitafute rafiki wa kike anayejua kiChagga nipige tuition! Am serious...
duuu amechapia mwambie aturudishie chenji zetuhichi kipare au kichanga yetoniiiiiiiiiii
Nini ?ww umejimwa kuongelea kabila lako? Tuachie kabila letuYale yale...........!!!!
Ni kiluu... au ni kiruu...
Natafuta wa kunifundisha kichaga jamani,nawaonea raha wenzangu wanaokijua mie nmebak jina tuuu
Nini ?ww umejimwa kuongelea kabila lako? Tuachie kabila letu
tuwatafutie Mwenga
Nenda Jpili Ibada N`ronga ,Mashami....au ongea na mchungaji au padri ya Moshi muulize unaweza pata?Wamachame wana Biblia yao....
Hiyo nzuri hivi fimbo sie ni (m..s..e..n..g..e)
mboo-nsafooo clemeeee..
Kiboro siku hizi pamechangamka mkuu. Pana hadi kiplefti..lol
oooh... ok. Hiyo ni mwanamae au mwanandie... ukija Rombo