Wachaga Special Thread

Wachaga Special Thread

Siku zote nilikuwa najiuliza kwanini uko active sana kuitetea Chadema...

Usingepitia huku wewe au wale wenzako na kutoa kauli tata ningeshangaa sana. Please haya nenda kamwambie NO 1 CHAGGA HATER IN THE COUNTRY Nape Nnauye kuwa kuna watu wanajadili mambo ya Uchagani huku.
 
Hebu wachagga waniambie nyati anaitwaje kwa lugha yetu...
hapo juu nimeandika fimbo kirombo ikagoma kuandikika...
 
Naona niweke thread hii itakayokuwa inajadili mambo yanayohusiana na sisi wachanga


Kwanza nianze kwa kuuliza: Hivi Wachaga ni kabila, au ni mkusanyiko wa makabila? Maana makabila mengine mengi wenzetu wana lugha moja ya kikabila. Ila sisi tuna vilugha zaidi ya 10 tofauti! Kwa nini?

Kwa mfano mimi nikiandika kwa kichaga cha kwetu (kiseri) kusema "Naomba maji ya kunywa", ni "Nglihemba mringa wenywa"

Hivi kwa wale ambao sio waseri, hapo mtasemaje? (naamini lugha zitatofautiana sana)....

Ngi Terewa muda weena.....shitehewa muha ,ngiterewa Mringa wonyo..etc.

Haha hata wapare ni mkusanyiko wa makabila.Pengine ingawa ni wengi wamchanganya, makabila mengine yalifanikiwa ua lugha nyingine.

Thats the power of these guys.Ni self contained culture..imebeba vionjo vya kutosha wapa changamoto ndani ya kilimanjaro kwa kiasi cha kuwafanya wawe flexible wakitoka nje.

by the way wengine si makabila kihivyo ila jinsi familia zao zilivyokuwa loose ktk kuingiliwa na lugha nyingine.Mfano kuna wazungumzaji wengi tuu wa lahaja zote ambao wamekuwa affected na kiswahili kiasi cha kufanya lugha ikiongelewa basi mzungumzaji w akiswahili anaweza sikia..Hii hata kwa Wapare, wasambaa imeingia sana...

Ni wachache sana jua lugha zao kwa asilimia zaidi ya 95...nakumbuka mzee wangu alikuwa akinipia maneno ya sahihi ya vitu km pikipiki, magari, majina ya vyakula, matukio etc nilifurahi kwa jinsi ilivyo romantic...by far kiswahili pamoja nakupewa umuhimu na mwendelezo ktk sayansi.

Hakina maneno sahihi ktk issue km imagination, kebehi, majigambo, ...kuna maneno hata ktk kiingereza huwezi yapata ila ktk kichaga cha kwetu....huwa naya feel sana.

Ushishangae sana kwani siku zinavyokwedna utakuta lugha nyingi zikisemwa kwa kutoahowa kiswahili au kingereza.
 
mboo-nsafooo clemeeee..

M.B.O.R.O ni ukoo.Wengine hujiita mboya baada ya kiswahili kuwa na maana mbaya..na wengine hawakuona sababu ya kubadili ukoo wao.Wakaamu ongezea.....Mboro ya womi....yaani nanii ya wanaume.Sijui mswahili utajisikiaje ukisikia ukisimia...Nantombe.....kuda m.b.o.ro ya womi..?

Cha kuchekesha ni kwamba hata kiswahili kina matusi sana kwa baadhi ya wachaga.....neno km "Kinu...." limewapa shida sana wageni au watoto wa mjini wanaporudi kijijini....niliwhai sikia mtoto wakiume aliyezaliwa Iringa na mwenye lafudhi km hajui anachosema "...kaenda mwambia bibi anaomba kinu...".Mziki wake wazee wa ukoo walikuwa tuliza na bibi kutakwa radhi...yaani ni kumwomba sehemu ya uzora.
 
What I hate about being a Chagga ni kutojua kiChagga...huwa najisikia am less of a Chagga kila wenzangu wakianza kukimwaga mitandaoni. Inabidi mitafute rafiki wa kike anayejua kiChagga nipige tuition! Am serious...

Haha...nilikuwa nachat na watu wa makabila mengine ..tukawa tunajaribu sana tajina maneno fulani ya kiluga ambao hatuna ktk kiswahili na kiingereza.

Its funny lugha nyingi hata kwa udogo wake bado wanaweza kuwa na misamiati fulani lugha pana hazina.na unapolitumia ndugu mwenzio anapata ile raha haswa..

Sishangai kwanini hata waswahili wanapenda ongozana kiingereza..ila hawajajua kiluga ilivyo tamu zaidi.Kwa mjuzi wa lugha husika..akipea kingine cha utapeli..hata nani atalizwa na wajanja wa kijiji na kila mwaka atapenda akirudi akamwone ili atapeliewe tena.
 
Hiyo nzuri hivi fimbo sie ni (m..s..e..n..g..e)

hiyo ni bakora...ya kutembelea....rungu/fimbo kwa wakibosho ni Mbiidi... bakora iliyopinda ni M...se..n.ge,..sijui iliyotengenezwa tofauti.
 
Hapa mshaniacha sasa... unaona? ila nimeelewa kidogo

aika = kaaho (kikwetu)
monowama = ?
Ruwa = Ruva
nakuringe = akuringe
umarise maka chu = umae mwaka u
necha = undusha

Dictionary ya kichagga inatakiwa iandikwe...

wana Biblia zao ..ingawa sijui km zinatumika sana.Kwa vile kipindi zianaandikwa ndicho kipindi wakatoliki wanatumia kilatini, walutheri ndio bado wanazitumia ktk maeneo.
 
Thread kama hizi sio zina promote ukabila? ...I am just asking!

dea utondo ..iketi lya duu......watu wanaulizia variation za origin yao zimetoka wapi.Wewe kwa unyonge wako dhidi ya kabila lako unataka iangalia kwa fikra za mwenyekiti.
 
Napenda uwepo wa majina maalumu kwa watoto wa kwanza ,wapili etc wa kiume/ kike.Unaoweza watambua ktk salamu right away.Salamu za siku nzima ktk neno mojamoja.
 
wana Biblia zao ..ingawa sijui km zinatumika sana.Kwa vile kipindi zianaandikwa ndicho kipindi wakatoliki wanatumia kilatini, walutheri ndio bado wanazitumia ktk maeneo.

Iliandikwa kwa kichaga cha wapi mkuu...
 
hiyo ni bakora...ya kutembelea....rungu/fimbo kwa wakibosho ni Mbiidi... bakora iliyopinda ni M...se..n.ge,..sijui iliyotengenezwa tofauti.

Nimependa ulivyofafanua na umenifanya nicheke kwa hilo neno " mbiidi" nimekumbukwa linavyitamkwa nikacheka
 
Back
Top Bottom