Wachaga Special Thread

Wachaga Special Thread

matumbo umekuja kufanya nini huku.....tuache wenyewe tujadili mambo yetu
 
Last edited by a moderator:
matumbo umekuja kufanya nini huku.....tuache wenyewe tujadili mambo yetu

yani nimeingia kwenye sherehe alafu nikakuta wenzangu wote meno yameungua..nikastuka nimevamia kambi hapa ngoja niwaite wahusika...
 
Last edited by a moderator:
yani nimeingia kwenye sherehe alafu nikakuta wenzangu wote meno yameungua..nikastuka nimevamia kambi hapa ngoja niwaite wahusika...

kwa taarif ayako watu walioharibika meno ni waarusha ..wachaga wachache tofauti na unavyodhani.Tena kwa kiasi unachoweza kikuta ktk sehmu nyingine za nchi..tofauti na nchi km Russia
 
Iliandikwa kwa kichaga cha wapi mkuu...

Nenda Jpili Ibada N`ronga ,Mashami....au ongea na mchungaji au padri ya Moshi muulize unaweza pata?Wamachame wana Biblia yao....
 
Nyisembo tee leechi ta kindo lichaaamba

kuda ichomba lyiimanya ....?Muhurumie huyu ...akiamka akilala yupo obsessed a wachaga..Kwa taarifa yake anaweza wasoma miaka nenda rudi ..na atabaki akiwa nyuma yao.Utadhani wasomi wa urambo..?wakifika ktk pick wanaanguka vibaya sana..wanapoteza jeuri na kiburi chao wanaanza lia kilio kuwa zama zimebadilika heshima kwa viongozi wa zamani haipo...wanaanza nao kujpanga kuomba walipotoka paangaliwe....


wakati namsoma nilikuwa naangalia list ya maprof wa tabora ambao "wameanguka vibaya".
 
Ungekuwa unakunywa mbege ungekuwa na akili nzuri!!

Atakunywa tuu hana ujanja.......kuna mwehu alikuwa anasema mademu wa kichaga ni washamba ,hawajui sijui ninihi na ninihii..kwa hiyo aanataka wachezea na kuwaacha....next time nimemkuta akitoa mahari kijiji na kupiga "shibata" kadhaa.Ninavyoongea jamaa kaamua jenga kaskazini.Anahudhuria sherehe za wakwe kuliko za kwao.Anajua kichanga mseto...ana lafudhi mchanganyiko kwa kuokoteza maneno ktk makundi hayo.

Nia mwingine mnyakyusa anajiita moshi, mwingine massawe.....eti madai yake alipewa ktk kula mitura..namtori.?

Hao jamaa usiwasikilize kabisa wanajishaua tuu wakidhani watu wanaowazunguka wanamaanisha kweli wanayoyasema dhidi ya wachaga.
 
tuko kajipange upya mkuu, wewe kama sio miongoni mwa makabila yanayotambulika kama wapare, wamasai, wewe ni mchagga tu. mchagga wa meru, machame, siha, mnarumu, old moshi, rombo, marangu, masama, uru, kirua, n.k.
sidhani kama kuna sheria inayosema ili muwe kabila moja lazima mfanane lugha.
 
ndio mchango wako....huo ?Kukei mbusu ehe...ichomba nyi ichomba tubu.

Mi nimekualika kwenye thread ya wenzako!
Halafu we unanitolea matusi!

Hii ndio desturi ya wauru wa kishumundu au??
 
Ungekuwa unakunywa mbege ungekuwa na akili nzuri!!

Na mimi naona mlivyo na akili!

Mpaka imefikia wewe mtu wa kishumundu ukaamini kuwa WEWE NI MYAHUDI!

Aisee wamndenyi mko wengi mno!

teh teh teh teh!
 
mnasahau historia...kwenye pre colonial africa kulikua na states za aina mbili...centralized na de-centralized tofauti ya the former and the later iko kwenye vitu nnavyovikumbuka kidooogo,
1.leader, centralized state kiongozi alikua mmoja tu e.g mirambo empire...while de-centralized walikua wengi mf uchagani tulikua na mangi kibao
2.standing army centralized states zilikua na jeshi moja na "well trained" eg zulu wakati decentralized vita ikitokea wanakusanya tu able bodies yeyote
3.lugha(hapa ndipo mjadala upo) lugha zilitofautiana kidogo kwendana na mazingira...
sasa wanao argue kuwa wachagga ni kabila or not kwa hoja kwamba hatufanani au tuko tofauti tofauti let him/her aboard and sail with me back in history.
 
kwa taarif ayako watu walioharibika meno ni waarusha ..wachaga wachache tofauti na unavyodhani.Tena kwa kiasi unachoweza kikuta ktk sehmu nyingine za nchi..tofauti na nchi km Russia

mchaga aliyeoza meno ndio mchaga halisi kama Matola,,,na wanakunywa viroba hatari sku izi ata mbege hawaitaki.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom