Vinci
JF-Expert Member
- Jul 6, 2009
- 2,637
- 675
Halafu sio neno sahihi. kama sikosei ni "nmbonyi" au "mbonyii"
Huwezi kubadilisha neno la kwanza....?
Huwezi kubadilisha neno la kwanza....?
Riwa kwanini utafute rafiki wa kike na siyo wa kiume!!!!!!!What I hate about being a Chagga ni kutojua kiChagga...huwa najisikia am less of a Chagga kila wenzangu wakianza kukimwaga mitandaoni. Inabidi mitafute rafiki wa kike anayejua kiChagga nipige tuition! Am serious...
Khaaa!
Na m.bo.o tena humu zinatafuta nini ?
Hii Sredi inahitaji maombi maalum!
Khaaa!
Na m.bo.o tena humu zinatafuta nini ?
Hii Sredi inahitaji maombi maalum!
Naona niweke thread hii itakayokuwa inajadili mambo yanayohusiana na sisi wachanga
Kwanza nianze kwa kuuliza: Hivi Wachaga ni kabila, au ni mkusanyiko wa makabila? Maana makabila mengine mengi wenzetu wana lugha moja ya kikabila. Ila sisi tuna vilugha zaidi ya 10 tofauti! Kwa nini?
Kwa mfano mimi nikiandika kwa kichaga cha kwetu (kiseri) kusema "Naomba maji ya kunywa", ni "Nglihemba mringa wenywa"
Hivi kwa wale ambao sio waseri, hapo mtasemaje? (naamini lugha zitatofautiana sana)....
Kiboro siku hizi pamechangamka mkuu. Pana hadi kiplefti..lolHii thread imenikumbusha Mamsera kwa Mwarabu. Jamaa anachoma mbuzi kiasi kwamba mbuzi wakimuana wanamwaga michozi. Nikiwa naelekea kwetu kuzuri lazima nisimame pale.
Karibuni kwetu Rombo. Kuna mtaa unaitwa Kiboro. Mi naupenda sana mtaa ule walahi..,
Yani chapchap sana Kaizer kuja pande hii tuangalie namna ya kwenda kufanya hija December.
Ni lugha yangu ila naaona aibu pale unapoamka asubuhi ukikitana na mama napaswa kumsalimu NANTOMA na nababa Unamsalim NANTOMBE da inakuwaga ngumu kweli hapo pengine sababu sijaizoea lugha Tuko nyie mnasalimiaje asubuhi