Wachaga Special Thread

Wachaga Special Thread

What I hate about being a Chagga ni kutojua kiChagga...huwa najisikia am less of a Chagga kila wenzangu wakianza kukimwaga mitandaoni. Inabidi mitafute rafiki wa kike anayejua kiChagga nipige tuition! Am serious...
Riwa hapo kwa kweli ni mtihani maana na dada zetu wenyewe kuongea ni balaa hata kama amezaliwa na kukulia kule atajifanya hajui kabisa kichagga
Wengine hata sisi tunaibia ibia kile cha juu juu maana ukikaa na wale wabibi na wababu wa kichangaa unajikuta unamung'unya maneno
Hapa mshaniacha sasa... unaona? ila nimeelewa kidogo

aika = kaaho (kikwetu)
monowama = ?
Ruwa = Ruva
nakuringe = akuringe
umarise maka chu = umae mwaka u
necha = undusha

Dictionary ya kichagga inatakiwa iandikwe...
Tuko monowama hapo ni kama ndugu yangu
 
Last edited by a moderator:
Riwa hapo kwa kweli ni mtihani maana na dada zetu wenyewe kuongea ni balaa hata kama amezaliwa na kukulia kule atajifanya hajui kabisa kichagga
Wengine hata sisi tunaibia ibia kile cha juu juu maana ukikaa na wale wabibi na wababu wa kichangaa unajikuta unamung'unya maneno

Tuko monowama hapo ni kama ndugu yangu

oooh... ok. Hiyo ni mwanamae au mwanandie... ukija Rombo
 
oooh... ok. Hiyo ni mwanamae au mwanandie... ukija Rombo

Mkuu Tuko, wife ametokea huko bana ila nashangaa hanifundishi kirombo bana
yeye ni wa pale tarakea bana so huko kote nimeenda mkuu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Tuko, wife ametokea huko bana ila nashangaa hanifundishi kirombo bana
yeye ni wa pale tarakea bana so huko kote nimeenda mkuu

Dah... Mnavyopenda vimwana vya Tarakea... Tarakea maeneo gani Shem?...
 
Dah... Mnavyopenda vimwana vya Tarakea... Tarakea maeneo gani Shem?...
hahahahahaha mkuuu wapi aise
Si unajua tunakutana mjini huku bana mambo yanamalizikia huku huku
Ila
ni sio mbali na pale stand mkuu Tuko
 
Last edited by a moderator:
Naona niweke thread hii itakayokuwa inajadili mambo yanayohusiana na sisi wachanga

Kwanza nianze kwa kuuliza: Hivi Wachaga ni kabila, au ni mkusanyiko wa makabila? Maana makabila mengine mengi wenzetu wana lugha moja ya kikabila. Ila sisi tuna vilugha zaidi ya 10 tofauti! Kwa nini?

Kwa mfano mimi nikiandika kwa kichaga cha kwetu (kiseri) kusema "Naomba maji ya kunywa", ni "Nglihemba mringa wenywa"

Hivi kwa wale ambao sio waseri, hapo mtasemaje? (naamini lugha zitatofautiana sana)....

Siku zote nilikuwa najiuliza kwanini uko active sana kuitetea Chadema...
 
hahahahahaha mkuuu wapi aise
Si unajua tunakutana mjini huku bana mambo yanamalizikia huku huku
Ila
ni sio mbali na pale stand mkuu Tuko

Sawa bana mkuu... siku ukijongea kusalimia wakwe upige honi ukifika maeneo ya kibaoni... walau upate mbege spesho kidogo pale... lita buku... kama bia.
 
Sawa bana mkuu... siku ukijongea kusalimia wakwe upige honi ukifika maeneo ya kibaoni... walau upate mbege spesho kidogo pale... lita buku... kama bia.

Asante sana bwashee hilo nimeliweka kwenye ratiba mkuu na nafikiri nitakuja huko mwezi huu wa kumi na mbili kusalimia wakwe aise na kuwatakia Xmass njema unajua tena kupata baraka zao mkuu Tuko
 
Last edited by a moderator:
Tuko amnyamara kila kindo iha ulalu.
 
Last edited by a moderator:
Nakundi nandemlya naiyo,
Nyi kilyi mndumka tupu oiyo Riwa kanyi

Hahaha..nimecheka sana hapa!

Amlye nawa kyelya lanye? Nakundi mndu o mlosha tikyi nae...au ma "ilya" aichi pfo eh?

Sipo..nimevamia tu ghafla na kupotea.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom