Wachaga Special Thread

Wachaga Special Thread

Mamndenyi jamani hebu nipe somo la lugha yetu naona kwenye huu uzi naambulia vichache sana tena vya kiswahili. Unacharge sh ngapi nije?
 
Last edited by a moderator:
Hii thread imenikumbusha Mamsera kwa Mwarabu. Jamaa anachoma mbuzi kiasi kwamba mbuzi wakimuana wanamwaga michozi. Nikiwa naelekea kwetu kuzuri lazima nisimame pale.

Karibuni kwetu Rombo. Kuna mtaa unaitwa Kiboro. Mi naupenda sana mtaa ule walahi..,

Yani chapchap sana Kaizer kuja pande hii tuangalie namna ya kwenda kufanya hija December.

kula sana nyama kwa mwarabu
 
Last edited by a moderator:
What I hate about being a Chagga ni kutojua kiChagga...huwa najisikia am less of a Chagga kila wenzangu wakianza kukimwaga mitandaoni. Inabidi mitafute rafiki wa kike anayejua kiChagga nipige tuition! Am serious...

Upo kama mimi Riwa...Huwa naumia sana..
 
Last edited by a moderator:
What I hate about being a Chagga ni kutojua kiChagga...huwa najisikia am less of a Chagga kila wenzangu wakianza kukimwaga mitandaoni. Inabidi mitafute rafiki wa kike anayejua kiChagga nipige tuition! Am serious...
pole wewe,
mimi wazazi walinikataza nilipokuwa std iv nisikijue kabisa wakati najifunza wakaniuliza...''ndo utaulizwa kwenye mtihani?""
 
kuna kiwango flani lugha za wachagga zinamwingiliano lakini kwa ujumla ni kuwa wachagga wa meru na wamachame wana lugha tofauti, wamachame na wanarumu wanalugha tofauti, wa-siha na wamachame tofauti, wamachame na wakibosho tofauti, wakibosho na wa-uru tofauti, wauru na wakilema tofauti, wakilema na wamarangu tofauti, wamarangu na warombo tofauti. pia kuna wakirua,
itaendeleea.
 
Back
Top Bottom