Wachaga Special Thread

Wachaga Special Thread

mambo ya kispotisopoti yanakujaje cc jamani?
Naona niweke thread hii itakayokuwa inajadili mambo yanayohusiana na sisi wachanga


Kwanza nianze kwa kuuliza: Hivi Wachaga ni kabila, au ni mkusanyiko wa makabila? Maana makabila mengine mengi wenzetu wana lugha moja ya kikabila. Ila sisi tuna vilugha zaidi ya 10 tofauti! Kwa nini?

Kwa mfano mimi nikiandika kwa kichaga cha kwetu (kiseri) kusema "Naomba maji ya kunywa", ni "Nglihemba mringa wenywa"

Hivi kwa wale ambao sio waseri, hapo mtasemaje? (naamini lugha zitatofautiana sana)....
 
ha mndu mduwe, ngelawa Mokala 1989 ni 1986 ku, habari mangi besa! Ruwa kakunda nafo NOELINI, NAITARAMO MBEEEE!

Enda uokye, ini ngilefumafo isho ngire se besa ya nauli ku. Umashukye ala Mamsera kwa mwarabu ule kanyama ka mburu kabla uteenda kaa.
 
Enda uokye, ini ngilefumafo isho ngire se besa ya nauli ku. Umashukye ala Mamsera kwa mwarabu ule kanyama ka mburu kabla uteenda kaa.

mamsera ni lasima kwani ngashikao ngemashuka ngaola ndafu kwansa!
 
Back
Top Bottom