Ladymasa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 877
- 335
Ngiefo nincha muna, ngikundye wari wo kikowini
Aya ma ngikwendye wari wautiko okikowin nyukunangisa kulakunde wari ewe kukeri munamuntu
Ngiefo nincha muna, ngikundye wari wo kikowini
Heheh kumbe ndio maana yake hiyo...ngoja niendelee kujifunza douta
hizo lugha zote ulizoandika hapo sizijui unasemaje maana sijaambulia chochote sijui umenitukana?
Usijali dady mbona mamy measkron anajua? ntakufundisha kama utapenda kichagga cha kibosho
Wewe unaelewa ipi nikuandikie maana mm lugha zote nazijua
Mmh!!! labda cha kuombea maji tu...hehehe
hizo lugha zote ulizoandika hapo sizijui unasemaje maana sijaambulia chochote sijui umenitukana?
Umevamia banah! Hahahaaa. Kukakumyako huku kulukubhachaga.
lugha gani hii mkuu?...
Eloieee!!!!! hujui?
Ngoja nimtafute Mwakyembe atafsiri!
daddy ungefahamu kwamba huyo unayeongea naye ni mkeo usingethubutu kum:smile-big:
maana uta:bored: muda si mrefu
Shem , hiki sio kipare ?
Haha.. afu wewe umekuwa mchokozi sku izi!..
akanana Passion Lady nkugambile?
my akanana Passion Lady nawewe hebu andika kichagga tuongee au kama huwezi andika kihaya.
hahahaaa!! Eli79
nawaenzi wakwe zangu bana!!
na wao c wanakaa kilimanjaro?
Mmh!!! labda cha kuombea maji tu...hehehe