Wachaga Special Thread

Wachaga Special Thread

Tuko ndakushaghania nashimo panu, kali mkujhobha chonicho?
Bhati Ileje nu Baba V mchimenye ichi kali chafuma kughu? ladyfurahia upiliike isi bhikujobha muno?
 
Last edited by a moderator:
Wanajificha wenzio,siku izi kujulikana mchaga ni fedheha tupu..

Haha...sidhani.Kwa watu wanaoona fahari ya kabila zao ni wachaga.Anayejificha anataka kuepusha hali fulani aliyoona kwa wabaguzi.Au alikuwa nakusogeza akuingize mjini upya ingawa umezaliwa huo mji.
 
mchaga aliyeoza meno ndio mchaga halisi kama Matola,,,na wanakunywa viroba hatari sku izi ata mbege hawaitaki.

haha viroba wapi hawanywi watu?

haha..mchaga aliyeoza meno..?kwanza meno hayaozi yanapata rangi .....kwa taarifa yako watu wa kuanzia manyara hadi Kia Arusha ndipo walipoharibika meno kwa maji.Wengine wachafu ambao ni wachache kila mahali dunian wapo.

Meno yangi hayajawahi kuwa brown..bado ni crystal white.
 
Mi nimekualika kwenye thread ya wenzako!
Halafu we unanitolea matusi!

Hii ndio desturi ya wauru wa kishumundu au??

Haha..ahsante kwa kunikaribisha.SItohoji motive behind ,ila nitahoji tuu ..Lini umeanza karibisha watu ktkvitu vya wenginge?

Mimi si mkishumundu,wala mkindi, wala wa lambo, wala Kwasadala, wala mnarumu...hao ni wanunua ukoo.Ni wepesi kujifunza lafudhi ya majirani ili wajitambulishe hivyo.Ni mix za makabila jirani na "vya saka/shi-chomba/wo kasa" .Mara zote wana shida ya esteem.
 
Umevamia banah! Hahahaaa. Kukakumyako huku kulukubhachaga.

Hizi lugha zingine matatizo sana!

Sasa hebu anaglia hapo juu!
Baada ya "hahahaaa" ktk hilo neno ukitoa hio "Y" pale au mbele ya "M" Ukaongezea "A" si mtu anaweza kukutoa jicho?

Mnfsnsssssssss!
Bora sisi wanyamwezi!
Teh teh teh teh!
 
Back
Top Bottom