blea
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 379
- 114
Tuje kwenye reality. Is there any necessity to hire a massive car just for show off? Kama wewe ni mtafutaji huitaji watu wakusifu kwa hizo gari bali kwa wewe the way you are! Huo ni ushamba! Mkuu amini hawa jamaa wana nyumba za hatari huku kwao! Hawawezi kulala humo! Kwao siku hizi wamezidisha mataahira (sio wote)! Logwa umwambie mzee wa kichaga kuwa unampeleka dar kwa matibabu! Thubutu!
Mkuiu kwa yule mwenye hadhi ya kukodi hizo gari za ghali na kumudu kuziendesha kwa yake na familia yake huyo nitamheshimu si kwa sababu ameenda na hilo gari ili kuwatambishia wenzake bali kwa kujitahidi kuwa na kupenda cha ghali na kweli uwezo awe nao na si kuwatambishia wenzake huku uwezo ni mdogo. Na kwa wale wanakuwa na huo mwelekeo wa kijinga wa kuwatoa wenzao kafara ili wapate hao siwezi kuwaheshimu hata kama wangetumia ndege zao binafsi na viwanja vyao binafsi vya ndege kwan hawatofautiani na shetan mtoa roho