majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 813
nimepigiwa simu na mtu yupo arusha ananiambia arusha pamepoaaaaaa hamna traffic jam na magari ya kifahari hayaonekani zimebaki spacio na rav 4 zinazunguka mtaani wachaga wameondoka na range rover zao
ngastuka, unaelezea maovu unayoyafanya kwenu!
Za masiku mengi?...
Kheri ya xmas na mwaka mpya...
Halafu mwaka huu nadhani wachaga wengi sanaaaa wameenda makwao kilimanjaro kipindi hiki cha sikukuuu kuliko hapo miaka ya nyuma
Kaka mbona umejibu kwa unyonge?
Mkuu I wish ungejua! Unataka ujue nini? Hawanibabaishi hao kaka/dada I can change cars as I wish ingawa sio mkwasi kihivyo ila hao wala hawanibabaishi! Wangapi tunawajazia mafuta kama sio kuwakopesha nauli! Nakwambia hivi waombe Mungu wasipate ajali as utawasikia wanavyoweweseka!
heee una wivu aisee cjui utakua mpare watani zetu looool
Hahahahaaa..
Kaka nimekosa nauli ya kwenda kupiga Bakora kijijini.
hili ndo tatizo kuu la ndugu zangu! Ukiwapinga sio mchaga! Nani kati ya wewe ujae leo na mimi niishie hapa! Umweli ni kuwa baadhi yenu muishio nje ya kilimanjaro huwa mnatamani kututishia kuwa mnazo! Ukweli ni plae mtakapofikia kuondoka. Mark my word utanambia ndugu! Mikopo mimgiiiii!
Asee karibu! Ha haaaaa!mbona wazungumzia magari pekee
hujaona hiyo mijengo ya kufa mtu,mahoteli na barabara za kumwaga?
Moshi pekee tanzania wamejitahidi hata vijijini kumepangika
hawabanani kama dar na kila mtu ana njia yake ya kuingia kwake hata zimamoto zinafika bila shida ndani kabisa huko
heri nikope kuliko kukaa mwaka bila kula x mass nyumbani
Ni kweli wengi wako vizuri kutafuta ila wengi wanaazima magari kwa kukodi ili waoshe jina huku kwao. Fedha yao nyinhi ya ushirikina sana. Mimi nimeishi huku mwaka wa tatu sasa. Kuna mengi ya wachaga hujayajua. Ni noma sana
Ni kweli wengi wako vizuri kutafuta ila wengi wanaazima magari kwa kukodi ili waoshe jina huku kwao. Fedha yao nyinhi ya ushirikina sana. Mimi nimeishi huku mwaka wa tatu sasa. Kuna mengi ya wachaga hujayajua. Ni noma sana
Habari hizi za wachaga kila mwaka zinajirudia kwa swaga zile zile, mara kuna foleni za magari, mara watu wengi. Hoja ya kujiuliza hivi hakuna mchaga mwenye camera au cmu yenye camera atuwekee hapa picha na afafanue ni wapi zipo hizo foleni.
Kama kweli kuna foleni kwa nini hakuna chombo cha habari hata kimoja kinachoripoti hayo matukio ie ITV, badala yake vyombo vinaripoti msongamano wa abiria kwa kutumia usafiri wa mabasi tu. Ambapo hata wenyeji wa mikoa mingine wanaface hiyo changamoto. Ingependeza kinachozungumzwa kiwekwe na picha au camera hazifanyi kazi huko nipo huku kwa muda ingawa si mwenyeji wa huku na sioni kinachosemwa hapa.
Waswahili ndio zao. wivu tupuHili ndo Tatizo kuu la ndugu zangu! Ukiwapinga sio mchaga! Nani kati ya wewe ujae leo na mimi niishie hapa! Umweli ni kuwa baadhi yenu muishio nje ya Kilimanjaro huwa mnatamani kututishia kuwa mnazo! Ukweli ni plae mtakapofikia kuondoka. MARK my word utanambia ndugu! Mikopo mimgiiiii!