Wachaga ni Noma!

Wachaga ni Noma!

Aliniomba akauzie sura, coz na mie sikuwa na mishemishe nikampa, ila namshukuru amekarudisha juzi jumamosi salama kabisa

sema na wewe uliishiwa ukamkodishia ili walao upate mafuta ya kutanulia mwaka mpya!! usiwe mgumu wa kushukuru ram, haya mshukuru mangi upesi!
 
Akhaa! wala sikumkodisha mie, alichofanya alilipia hela service kabla asafiri, basi akaenda zake, karudi kaniwekea mafuta biashara ikaisha

sema na wewe uliishiwa ukamkodishia ili walao upate mafuta ya kutanulia mwaka mpya!! usiwe mgumu wa kushukuru ram, haya mshukuru mangi upesi!
 
Wao mnavyotania ndiyo wanazidi kwenda. Wakati tuko shule tulikuwa tunawatania kuwa wachaga wanapenda sana pesa. Hat ukikuta amekufa ukaangusha shilingi karibu na jeneza anaamka na kushangaa: "Hela hiyooooooooo!" halafu anarudi tena ndani ya jeneza. Kumbe wenzetu kweli ndiyo wanazidi kutuibia kila kitu na kutuita wajinga.

Mhaya amefyatuka tu kwa sababu ya udhaifu wa Mwinyi na baadaye Kikwete. Wanawatumia kama makombeo ya kufyatulia mawe ya kumaliza wapinzani ambao wengi hamuwajui. Bila hivyo Mhaya hakuwa na hitilafu katika nchi, hata tabia yao si wezi kama Wachaga.
 
Jitahidi sasa ukamilishe, ni muhimu kuingia kwenye nyumba ambayo iko full, yah, mkoko tutatumia huu huu wangu ukizingatia simuazimishi tena rafiki

umejuaje? tatizo bado nyumba yangu ya kisasa haijakamilika, hata mkoko bado, lakini utaniazimma lako!
 
kuna mikoa km mfu sasa hivi....wawekezaji wakiondoka chini ya siku 20 tuu life haifai kabisa kwa wengine.Ndio mjifunze ku appreciate.
 
nenda hata dodoma kwa wagogo, utaona mikoko ya ng'ombe wa ajabu wa kila aina. hiyo ni utofauti wa kijiografia.
 
Kama Tz yote tungekuwa wachaga tungepishana kidogo na USA. Unajua kuna mikabila mingine haizalishi bali wanatia nchi umaskini. Wachimbiwe vyoo na kupewa vyandarua vya bure na serikali. Jitu linalalia kitanda cha kamba halafu wake wanne kila mwaka linaoa.
 
Jitahidi sasa ukamilishe, ni muhimu kuingia kwenye nyumba ambayo iko full, yah, mkoko tutatumia huu huu wangu ukizingatia simuazimishi tena rafiki

Jamani Wachaga, mbona mmekaachia haka kasichana ka-ram kuuza biashara kwenye mtandano? Mimi nimeitafuta ni biashara gani nikaikosa. Nikaishia kukuta eti kanataka kuchumbiwa. Luuuh! Mimi sitaki kuchumbia. Hata kakikaa kanasoma gazeti mimi sina tatizo, nikimalisa nitafunika na hela ya masiwa ya mtoto kataikuta mezani. Kako mtaa gani kabinti kazuri namna hii? Hata Msee wa miaka 90 kweli halali usingisi usiku.
 
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza mfumo mpya wa kuwapata wagombea nafasi ya ubunge kuanzia uchaguzi wa 2015.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Wilbrod Slaa alisema kuwa kuanzia uchanguzi ujao wa 2015, nafasi za wagombea ubunge majimbo yote nchini zitatangazwa kwenye magazeti.

Dk. Slaa alisema baada ya waombaji kujitokeza watafanyiwa usaili kwa kufanya mtihani utakaokuwa umeandaliwa kwa kuzingatia nafasi hizo.

“Mwenyekiti wa chama, Freeman Mbowe amekwisha kusema kwamba kuanzia sasa hatupokei makapi kutoka Chama Cha
Mapinduzi (CCM) na hili naliweka wazi kwamba uchaguzi ujao utakuwa na mfumo mpya na wenye mabadiliko makubwa, tunaamini utaleta uzalendo na kuondoa upuuzi unaojitokeza.

“Kwa wale walio na mipango ya kujitokeza dakika za mwisho kugombea nafasi za ubunge kupitia Chadema au nje ya chama, naomba wasahau hilo tunataka mtu anayetetea wananchi, mwenye uzalendo, hoja, ujasiri na mwenye kuitoa Tanzania hapa ilipo na kuisogeza mbele,”alisema.

Akizungumzia suala la mchakato wa katiba mpya alisema Chadema haitakubali kuona inakuwa sehemu ya watu walioshiriki kutengeneza katiba isiyo ya Watanzania wote.

Wanatafuta sifa za watu wa kwenda na Dubai ccm hakuna uchafu huo Mbowe Dr. Silaha wote wametoka ccm acheni unafki hizo siyo nafasi za kazi Duniani kote hawafanyi hivyo.
 
Wanatafuta sifa za watu wa kwenda na Dubai ccm hakuna uchafu huo Mbowe Dr. Silaha wote wametoka ccm acheni unafki hizo siyo nafasi za kazi Duniani kote hawafanyi hivyo.

Unamzungumzia Mbowe gani wewe?
 
Jogoolashamba, mji utawika kweli?

Back
Top Bottom