Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,327
- 4,780
Nilistuka nilipoona neno "WABONGO SIO WASTAAR...."
Kumbe inatuhusu watu specific , ambao ni sisi wanaume!
But headin' ina combine Wabongo wa gender zote .
Nilicho notice mie hapa wamama haiwahusu , kwa muamala mmoja ni mtihani kwao to dischurge shotcall kwenye sink .
Wababa tunajifedhehesha sie wenyewe , na tujikanye kwa upumbavu type hii.