..Wabongo tuwe wastaarabu...khaaaah | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

..Wabongo tuwe wastaarabu...khaaaah

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kivumah, Mar 11, 2012.

 1. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,387
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  ..Mtu na akili zako kweli unafungua zipu ya Suruali na kutoa Limshedede lako halafu unakojoa juu ya Sink la kunawia badala ya kukojoa chooni!!!@@###
  ..Hii imetokea Uwanja wa Taifa jana katika mechi ya Yanga na Azam.

  "Miafrika ndivyo Tulivyo" - Nyani Ngabu

  [​IMG]
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,635
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  habari ya wewe mkuu..

  hilo litakuwa shabiki la yanga au simba ndio yana akili hizo..
   
 3. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,542
  Likes Received: 4,243
  Trophy Points: 280
  Hukubahatika kuwaona wale wanaojisaidia haja kubwa na kuchamba kwa vidole na kisha kupangusia/chora ukutan??
   
 4. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ipo kazi kwa kweli...afu ukimkuta anatoka humo ndani huwezi kumdhania...inaboa!
  BTW,izo hand wash-basin nazo zimekufa!
   
 5. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 180
  huu uwanja haukutakiwa kujengwa sehemu zile maana wahudhuliaji wakubwa ni wakutoka uswahilini. Watu wa uswahilini hawanaga haya ustaarabu wao ni zero kabisa
   
 6. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  hahahahaaa...nimeiona secondary iyo!
   
 7. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nitty,
  wakati mwingine uchafu kama huu sio uswazi tu...mlimani city ambako tunaamini wastaarabu/wauza sura kibao lakini unakuta mtu anatoka chooni unapishana nae,ukifika ndani kaacha gogo hajaflash...huo ni UNGESE!
   
 8. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 180
  Magogo mengine hayaflashiki mkuu, raia unakuta analipiga maji lakini halizami
   
 9. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,387
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  ..haha hhaaa Mkuu Bagah, kwa kweli mswahili ni mswahili tu, hata ukimpeleka Ulaya atabaki mswahili tu
   
 10. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,387
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Nitonye, sasa mtu ashazoea choo cha passport size Uswazini mambo ya kuflash atayajulia wapi, akishakata Gogo amemaliza analiacha hapo
   
 11. S

  Skype JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,286
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hawa ndo watanzania bwana, wanajivunia amani na utulivu bila maarifa na busara.
   
 12. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #12
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  LOL...ilo tofali sasa!
   
 13. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #13
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ni akili mbovu tu...nakwambia sisi bado mkoloni angetakiwa awepo...ovyo kabisa!
   
 14. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #14
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 180
  Sio siri mkuu watoto wa uswahilini wameichafua coco beach nzima imetapakaa kinyesi
   
 15. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #15
  Mar 11, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,398
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  Dah! Mungu wangu.. Nimeshangazwa sana!!
   
 16. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #16
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  nimekukamata!
  usishangae...ndio waume zenu wakibongo!Amy kwan akitoka huko unajua kua ni yeye?kitu mkanda nje!
  nina salam zako unikumbushe!
   
 17. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #17
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,546
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  Wabongo tumeshajizoea wenyewe
   
 18. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,398
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  Mh kwa kweli ni aibu! I will totaly degrade u the moment i find out u can possibly do such a thing!
  Enhe salam toka kwa nani?
   
 19. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #19
  Mar 12, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,453
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Hayo masinki yenyewe nayo mabovu tu. Kwanini yaache mkojo ukae hapo juu? Wachina vimeo sana kudadadeki........
   
 20. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #20
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  simpaka ujue...
  nina shemeji yangu,e bana sista anakazi...na kwa sasa huyo shem ni associate prof!lakini ishu anazofanya hazina hata punje ya ustaarabu!aaaaarghhh!
  unamjua mtu anaitwa Mtei One?nimekutana nae anakupa hugz za kutosha!
   
Loading...