Mzee wa kazi ngumu
Senior Member
- Sep 28, 2023
- 148
- 469
Wakuu swali langu ni hilo wale wagumu aka ma-porter wanaopanda Mlima Kilimanjaro Wanalipwa Kiasi gani kwa siku au kwa mwezi?
15 ila wazungu wema huwapa tip nzuri hadi dola 100Mara ya mwisho ilikuwa 20000 per day + akipewa tip hapo anajazia
Kwa sasa sijui itakuwa kiasi gani,ngoja wajuvi waje watupe bei ya sasa
Ova
Mara ya mwisho ilikuwa 20000 per day + akipewa tip hapo anajazia
Kwa sasa sijui itakuwa kiasi gani,ngoja wajuvi waje watupe bei ya sasa
Ova
Shukrani wakuu maana nisingependa kwenda kutafuta kazi huko pasipo kujua Wanalipwa Kiasi gani kwa siku lkn kama malipo yanaanzaia 15 basi ngoja nijisogeze Moshi.15 ila wazungu wema huwapa tip nzuri hadi dola 100
Itakuwa wapo Mlimani hawa mbona wamechelewa kuja.
Hii ni hatari mkuu kupanda ule Mlima uje ulipwe 5,000 kwa siku ni pesa ndogo sana ukizingatia ile mizigo wanayobeba ma-porter huwa naiona ni mizito sana na huwa wanatakiwa waibebe mpaka juu.Imagine kampuni inalipa 5,000/= kwa siku kama mshahara bado kwa wageni napo unakuta wamechukua hela yote hadi ya tipping.
Suluhisho ni kuwa namna wanavyochaji park fees , itumike utaratibu huo huo malipo ya mishahara yawe zinapelekwa details za hela iliyowekwa kwenye account za waliofanya kazi ili siku ya kushuka kampuni inaonyesha slip zilizofanya hayo malipo kwenye geti la kutokea
Hii hali niliikutaga pale Nyegezi stand Mwanza kipindi inajengwa watu walikuwa wanalipwa pesa ndogo sana upande wa zege 6,000 au 7,000 kwa siku na walikuwa watu wakigoma wengine wanaikubali. Kazi ya kulipwa 12,500 unalipwa 7,000.Bila hivyo watu tunatumia nguvu nyingi ila malipo kidunchu, na ukiikataa kazi mwingine anakwenda
Hizi kazi za dizaini hii nimeshazizoea mkuu.Hii kazi uwe na pumzi ya kutosha maanake sio mchezo.
Sawa sawaHizi kazi za dizaini hii nimeshazizoea mkuu.
Duh 5000 kwa tena walikuwaga wanalipwa $9 hivi...Hii ishu serikali matamko yanakua mengi. Makampuni mengi bado yananyonya wafanyakazi wao kuanzia porter mpishi na Guide.
Imagine kampuni inalipa 5,000/= kwa siku kama mshahara bado kwa wageni napo unakuta wamechukua hela yote hadi ya tipping.
Suluhisho ni kuwa namna wanavyochaji park fees , itumike utaratibu huo huo malipo ya mishahara yawe zinapelekwa details za hela iliyowekwa kwenye account za waliofanya kazi ili siku ya kushuka kampuni inaonyesha slip zilizofanya hayo malipo kwenye geti la kutokea
Bila hivyo watu tunatumia nguvu nyingi ila malipo kidunchu, na ukiikataa kazi mwingine anakwenda
Pia ukweli ni kuwa hazipo kila siku na ni kazi nzito balaa.huwa wanapeana kikabila na wanachama Chao mambo ya kupambana siwezi changia ila mm.huwa naona hawana maisha bora huko dar unaweza Pata 10 ya kila siku kuliko huku ni ya msimu wanaweza sababu wanakaa nyumba za bure za familiaShukrani wakuu maana nisingependa kwenda kutafuta kazi huko pasipo kujua Wanalipwa Kiasi gani kwa siku lkn kama malipo yanaanzaia 15 basi ngoja nijisogeze Moshi.
Sio kuzuia, yaani pesa ya tip wanachukua kwa mgeni mwisho wa siku nayo bado wanaikataDuh 5000 kwa tena walikuwaga wanalipwa $9 hivi...
Sema tip ndiyo ilikuwa inawafanya waishi pia..
Usiniambie sahv makampuni wanazuia mpaka tip za ma porters
Ova
Umemaliza.Pia ukweli ni kuwa hazipo kila siku na ni kazi nzito balaa.huwa wanapeana kikabila na wanachama Chao mambo ya kupambana siwezi changia ila mm.huwa naona hawana maisha bora huko dar unaweza Pata 10 ya kila siku kuliko huku ni ya msimu wanaweza sababu wanakaa nyumba za bure za familia