Ili uweze kupanda Mlima Kilimanjaro andaa Bajeti ya Shilingi 1,700,000

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,779
Hii gharama lazima ziangaliwe Upya na hapa eti ni bei ya ofa.

Hivi wanaopanga hizi Bei Huwa wanalenga kumkomoa nani?

Kwamba Tanzania itafikiaha watalii mil.5 Kwa gharama za Juu kiasi hiki?

Hawa watu wa huko Serikalini Huwa wanafikifia sawa sawa kweli? Mtalii gani atakuja Tanzania harafu aje kurudi Kwa gharama za hivi?

Nyie watu wa Utalii lazima muwe na akili za kujiongeza ,faida na mapato ya Utalii sio kuishia tuu kulipa hizo tozo,inatakiwa mtalii alipe bei nafuu huko harafu sehemu ya pesa aingie shopping lakini Kwa gharama hizi automatically watakimbilia Nchi jirani. Punguzeni gharama,Utalii ni biashara ya Ushindani.

======
"Gharama ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa njia ya Lemosho kwa ofa iliyotolewa na Mamlaka ya Hifadhi kusheheherekea miaka 62 ya Uhuru wa Tanganyika ni Tshs Mil. Moja na Laki Saba"

"Kwenye hii gharama inakulipia hotel na chakula kuanzia Siku unafika katika Mji wa Moshi. Inakulipia usafiri wa kukutoa katika hotel hadi kwenye lango la Mlima. Inagharamia chaji zote za Hifadhini.

"Watu watakaokusaidia kupanda Mlima kuanzia wapagazi, wabeba mizigo, wapishi na waongoza Watalii" Joel Siao, muongoza watalii kutoka, African Scenic Safaris.
 
Package ni kubwa sana yaani kuanzia hotelini unalipiwa hadi kwenda huko mlimani hiyo pesa ni cheap sana..

Alafu walengwa hapo nadhani ni watu wa daraja la juu na watalii sio kila tangazo likuhusu mweka mada mengine angalia alafu endelea na mambo yako..
 
Hii gharama lazima ziangaliwe Upya na hapa eti ni bei ya ofa.

Hivi wanaopanga hizi Bei Huwa wanalenga kumkomoa nani?

Kwamba Tanzania itafikiaha watalii mil.5 Kwa gharama za Juu kiasi hiki?

Hawa watu wa huko Serikalini Huwa wanafikifia sawa sawa kweli? Mtalii gani atakuja Tanzania harafu aje kurudi Kwa gharama za hivi?

Nyie watu wa Utalii lazima muwe na akili za kujiongeza ,faida na mapato ya Utalii sio kuishia tuu kulipa hizo tozo,inatakiwa mtalii alipe bei nafuu huko harafu sehemu ya pesa aingie shopping lakini Kwa gharama hizi automatically watakimbilia Nchi jirani. Punguzeni gharama,Utalii ni biashara ya Ushindani.

======
"Gharama ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa njia ya Lemosho kwa ofa iliyotolewa na Mamlaka ya Hifadhi kusheheherekea miaka 62 ya Uhuru wa Tanganyika ni Tshs Mil. Moja na Laki Saba"

"Kwenye hii gharama inakulipia hotel na chakula kuanzia Siku unafika katika Mji wa Moshi. Inakulipia usafiri wa kukutoa katika hotel hadi kwenye lango la Mlima. Inagharamia chaji zote za Hifadhini.

"Watu watakaokusaidia kupanda Mlima kuanzia wapagazi, wabeba mizigo, wapishi na waongoza Watalii" Joel Siao, muongoza watalii kutoka, African Scenic Safaris.
Unalalamika kuhusu gharama halafu unazitolea ufafanuzi. Sasa gharama kubwa ziko wapi?
 
Ni bei halali kulingana na huduma zitolewazo.
 
Hii gharama lazima ziangaliwe Upya na hapa eti ni bei ya ofa.

Hivi wanaopanga hizi Bei Huwa wanalenga kumkomoa nani?

Kwamba Tanzania itafikiaha watalii mil.5 Kwa gharama za Juu kiasi hiki?

Hawa watu wa huko Serikalini Huwa wanafikifia sawa sawa kweli? Mtalii gani atakuja Tanzania harafu aje kurudi Kwa gharama za hivi?
Hicho kiasi ndiyo kingi cha kulalamika? he jisemee mwenyewe tu kuwa huwezi lakini kwa gharama hizo hakuna ughali hapo ukizingatia na hizo huduma unazopata. Au ulifikiria kupanda mlima ni mchezo wa kuigiza?
 
Wazungu wakija Huwa hawarudi na mojawapo ya wanacholalamikia ni gharama za Juu kwenye Hifadhi za Tanzania
 
Back
Top Bottom