Waafrika ndivyo tulivyo?

Waafrika ndivyo tulivyo?

Nyani,

Hao wanaongelea kitu tofauti kabisa. Labda kama wamejenga mwaka huu lakini mpaka 2007 nilipokuwa TZ hakukuwa na hizo ridges. Nafikiri kilichopo bongo ni vile vyuma ambavyo kwa kiasi fulani vinafanya kazi karibu na hiyo lakini si kwa ufanisi mkubwa.

Hizo ridges unazozisema wewe mara nyingi zinakuwa kwenye outer lanes au kwenye barabara kubwa unapokaribia roundabouts. Gari linatikisika utafikiri limepata pancha.

Mtanzania, tunaongelea hizo hizo ridges. Si zinakuwa kama bunch of stripes fulani ambazo ziko parallel? Jamani zipo. Mimi nimeziacha huko wiki tatu zilizopita. Zimejaa kibao Morogoro road.

Kama alivyosema JMushi ni kweli. Unakuta zinatangulia kabla ya tuta kubwa ili kukupunguzisha speed. Bongo bado hawajaweka pembeni ya barabara, lakini zimewekwa zikikatisha barabara.

Hata hapa Marekani, baadhi ya airport zipo za kucross barabara. Sina uhakika lakini nafikiri O'hare airport zipo.
 
Kuna wakati nilikuwa nakuwa sensitive inapotokea mtu ananiuliza nimetokea wapi ghafla ghafla tu bila salamu. Mwaka 2004 nilikuwa na familia yangu kwenye vekesheni kidogo huko Mount Rushmore wakati wa summer.

mountrushmore1.jpg


Jua lilikuwa kali sana, ikafikia tukapumzika chini ya mti nikawa nimejiegeza kwenye paja la mammie, na vijana wanapiga piga picha hapa na pale. Sasa mimi na mammie tulikuwa tunapiga stori zetu kwa kiswahili, mara akaingia jamaa mmoja ghafla akatuuliza tumetokea wapi. Kwa sensitivity yangu nilitaka kumjibu vibaya, lakini nikijua kuwa wamarekani wengi hawajui Tanzania iko wapi, nikamjibu kwa kifupi tu kuwa nimetoka Afrika. Akauliza tena Afrika nchi gani,: Kenya, Tanzania, Uganda, Burundi au vipi. Nikatambua kuwa jamaa anajua kidogo nchi za Afrika nikamwambia Tanzania. Akauliza tena Tanzania semehu gani kwani alikuwa ameishi sehemu za Morogoro akiwa anafanya sehemu inaitwa Sauti ya Unabii kwa muda mrefu sana. Aisee nilipoa kidogo nikawa mwungwana na kumpa stori zote. Mara jamaa akaiita familia yake iliyokuwa upande wa pili wa jiwe na tukaanza kutwanga kiswahili. Mke wake na watoto walikuwa wanaongea kiswahili vizuri sana ila ndugu zake wengine aliokuwa nao walikuwa hata hawajui Tanzania iko wapi. Basi jamaa akataka awaonyeshe ndugu zake wale umahiri wake wa kiswahili, akawa anataka tuwe tunaongea kiswahili tu. Jioni ile tulikwenda dinner pamoja bado tukiwa tunachapa kiswahili tu.
 
Problem ta Tz ndiyo hiyo. Sijui nani kasema kuku ndiyo chakula kule. Hata videmu, ukiwapa lophole kuagiza msosi, utasikia nataka chips kuku....!

Makuku huku unapata kwa Euro 1 na ukivizia supermarket ambazo wateja si wengi kuelekea weekend, utanunua hata wa cent 75.

Kuna jamaa siku hizi nasikia wameanzisha farms za kunenepesha animals tz. Nadhani hawa watasaidia sana kupunguza bei. Hawa ni ex-Zimbabwe wazungu. Wananunua wanyama kwa wamasai, wasukuma na wagogo na kuwafungua, kuwapa foods za nguvu. Then in two months, former owner akiambiwa huyu ndiye yule Ng'ombe wako, hakuna aliyekubali mpaka sasa!

Hawa wataondoa hii kuku and nyama fever in Tanzania!

Umegusia issue ya kuku ukanikumbusha kisa cha mshkaji mmoja ambaye ameishi ughaibuni kwa muda mrefu, familia yake ilimpiga mzinga wa hela flani ndefu na jamaa alikua hajakaa fresh, sasa katika kupangua hicho kirungu akasema "maisha yangu ni magumu sana huku, kila siku nashindia chips kuku", kauli ambayo watu wa familia yake waliiona ni kama nyodo!
Hayo mang'ombe na makuku ya kunenepeshwa sio ya kuyakimbilia, machakula yana chemicals kibao, bei zitashuka lakini vibinti vyenu va miaka 6 vitakuwa na chuchu za kuvalia sidiria!
 
Mtanzania, tunaongelea hizo hizo ridges. Si zinakuwa kama bunch of stripes fulani ambazo ziko parallel? Jamani zipo. Mimi nimeziacha huko wiki tatu zilizopita. Zimejaa kibao Morogoro road.

Kama alivyosema JMushi ni kweli. Unakuta zinatangulia kabla ya tuta kubwa ili kukupunguzisha speed. Bongo bado hawajaweka pembeni ya barabara, lakini zimewekwa zikikatisha barabara.

Hata hapa Marekani, baadhi ya airport zipo za kucross barabara. Sina uhakika lakini nafikiri O'hare airport zipo.

Ndio maana nikawa najaribu kumwelewesha Nyani kuwa there's no need for complication...Same thing different purposes...Mbao ile ile tofauti hili kabati ile meza.
Waafrika kama wakicomplicate issues basi ni wazi wanaweza kundelea kuwa jinsi walivyo....This time unasema miafrika ndivyo ilivyo halafu the next minute unadai miafrika hiyo hiyo idai kuwa imetokea Afrika...Ni lazima uanze na mfano wewe wa kujithamini kama mwafrika kabla hujawaambia wenzako kwanini wanajilipua ama kudai identity ya tofauti.
Nyani upo?
 
Umegusia issue ya kuku ukanikumbusha kisa cha mshkaji mmoja ambaye ameishi ughaibuni kwa muda mrefu, familia yake ilimpiga mzinga wa hela flani ndefu na jamaa alikua hajakaa fresh, sasa katika kupangua hicho kirungu akasema "maisha yangu ni magumu sana huku, kila siku nashindia chips kuku", kauli ambayo watu wa familia yake waliiona ni kama nyodo! Hayo mang'ombe na makuku ya kunenepeshwa sio ya kuyakimbilia, machakula yana chemicals kibao, bei zitashuka lakini vibinti vyenu va miaka 6 vitakuwa na chuchu za kuvalia sidiria!

hahahahahaha
 
QM true story aisee hii ilikuwa miaka ya 90's huko ilikuwa siyo mistari perse ila ni zile pums ndogo ndogo sana zipo mostly wakati unakaribia kuingia airport au kutoka (sijui zinaitwaje kwa kweli)....you know what i am talking about sijui kama kila airport zipo.

Ulikuwa chekechea wakati unapewa hiyo story au?..

Uk to US the world is yours...lol
 
Mpaka sasa sijawahi kukutana na mtu alizaliwa Muhimbili...what ze hell? Ina maana niko peke yangu tu...

Ni kama kusema ulizaliwa pumwani hospital Nairobi.. not very classy u knoe... pole aiseee
 
Wabongo wa Asia hasa Kuala Lumpur mara nyingi ukiwakuta katika mitaa ya Bangsar hupenda kujitambilisha kuwa wanatoka USA...
 
Nilikuwa sehemu mbili za dunia in the last 2 months ,US na India na wote wako very ignorant juu ya nchi za Afrika.Ni vyema tukawaeleza kuwa ni kule kuna simba wengi pamoja na tembo, na vile vile kuna mlima mrefu jabisa ,Kilimanjaro-that sticks
 
Wabongo wa Asia hasa Kuala Lumpur mara nyingi ukiwakuta katika mitaa ya Bangsar hupenda kujitambilisha kuwa wanatoka USA...


Tatizo kubwa la Wa-Asia wote, wanawahusudu sana Wamarekani. Nadhani ndiyo maana watu wanajikuta wakijiita Americans. Ukiwa Mmarekani mweusi kwa India, Phillipines au Thailand, kama wewe ni mwanamme wa mbegu hasa basi utapiga miti wanawake wote, hata wale wa wake wa magaidi kule Pakistan!. Sasa, uje ukosee useme wewe ni Mwafrica wa Africa! Utashangaa!

Nimejaribu sana kutafuta reason pale India, hawasemi kabisa. Akili yao ni mmarekani mweusi!
 
Wabongo wa Asia hasa Kuala Lumpur mara nyingi ukiwakuta katika mitaa ya Bangsar hupenda kujitambilisha kuwa wanatoka USA...
Wabongo bwana kiboko kule kwenye viunga vya japan wanajiita wanugu ili wawakombe watoto wa kijepu……
Kuna faida gani ya kuwa Mtanzania? Sijaona faida yoyote zaidi ya madhara utaifa wangu nautamka sehemu naona npata faida napo…..kama nikona nikisema iamm from SA ninafaidika nasema lakini mara nyingi sehemu zoote nilizopita kusema mimi mtz ilikuwa vigumu….

NB:Invisible wakati wa Idd sikuona mbwembwe hizi......
 
NB:Invisible wakati wa Idd sikuona mbwembwe hizi......

Huu ndo ushambenga..

Au sio wewe ulosema kule jamvi la Udini kuwa X-mass ni sherehe ya kipagani? Au chuki yako ipo kwa wapagani vilevile?
 
[QUOTE=Kana-Ka-Nsungu;343169]Umegusia issue ya kuku ukanikumbusha kisa cha mshkaji mmoja ambaye ameishi ughaibuni kwa muda mrefu, familia yake ilimpiga mzinga wa hela flani ndefu na jamaa alikua hajakaa fresh, sasa katika kupangua hicho kirungu akasema "maisha yangu ni magumu sana huku, kila siku nashindia chips kuku", kauli ambayo watu wa familia yake waliiona ni kama nyodo!
Hayo mang'ombe na makuku ya kunenepeshwa sio ya kuyakimbilia, machakula yana chemicals kibao, bei zitashuka lakini vibinti vyenu va miaka 6 vitakuwa na chuchu za kuvalia sidiria![/QUOTE]


Ha ha ha haaaa Kana Ka Nsungu,
Kwetu bongo kuku chips msosi wa nguvu tu!!!Kama jamaa ndo anaweka huo msosi angekuwa bongo ageni kibao.
 
Huu ndo ushambenga..

Au sio wewe ulosema kule jamvi la Udini kuwa X-mass ni sherehe ya kipagani? Au chuki yako ipo kwa wapagani vilevile?

....xmas zilikuwa sherehe za wapagani,hata bible mambo mengi wametoa kwa hao wapagani....dini is sooooo fake na hakuna cha jesus wala mohamed,utapeli mtupu na akili za watu bado wanaamini kuna judgement day yesu atatokea angani,haiingii akilini eti holy father kuja kuwahukumu watoto wake na kuwachoma moto wa milele...real realllly stupid idea!
 
....xmas zilikuwa sherehe za wapagani,hata bible mambo mengi wametoa kwa hao wapagani....dini is sooooo fake......real realllly stupid idea!
Tupo pamoja.
 
Back
Top Bottom