Waafrika ndivyo tulivyo?

Waafrika ndivyo tulivyo?

Kwa wale wanaoishi Reading in London kuna lile Daraja lipo karibu na shopping mall center moja hivi then karibu kuna Nandos ile daraja kuna mtanzania alikuwa anafukuzwa na Police wa London aliamua kujirusha kule in a cold weather aisee ule mto ulikuwa umeganda akajitupa if ningekuwa mimi kwa kweli ningejisalimisa than kujitupa ndani ya mto si ndiyo natafuta kifo tena huko jamani au?...i think that was a tupid move.
 
- Well said mkuu, maana hata ukikwepa maneno na vitendo vitakushitaki tu!

Mkuu FMES,

Maneno na vitendo gani hivyo mkuu? Wote tumetoka huko bara ukiachia Wazaramo wachache kwi kwi kwi!!!

Kuna bwana mmoja alikuwa anaona kuzaliwa Ocean road ilikuwa ni deal kubwa. Wakati ingelikuwa kwa wenzetu kuzaliwa kwenye matatizo na bado kufanikiwa ndio deal kubwa.

Labda tumeona mno umaskini na tusingependa kujihusisha na umaskini au failure yoyote. Hata mpira huko nyuma wote tulikuwa Yanga au Simba.

Huwa nawashangaa Wazungu, wanaumia na vitimu vyao vidogo, vinafungwa kila siku, lakini wamo tu. Mswahili ukija unachagua one of the big four.

Hii thread nzuri, asante Nyani kwa kuianzisha.
 
Duh huyo aliyekuwa anaona kuzaliwa Ocean Road ndio dili I hope hajalosti sasa hivi (unless awe anatumia influence ya dingi au maza)
 
Mkuu FMES,

Maneno na vitendo gani hivyo mkuu? Wote tumetoka huko bara ukiachia Wazaramo wachache kwi kwi kwi!!! Kuna bwana mmoja alikuwa anaona kuzaliwa Ocean road ilikuwa ni deal kubwa. Wakati ingelikuwa kwa wenzetu kuzaliwa kwenye matatizo na bado kufanikiwa ndio deal kubwa.

- Weee Mtanzania, kuzaliwa kumbwani sio sawa na huko madongo poromoka, acha hizo mkuu kubali yaishe! Bwa! ha! ha! ha! Off course ni bonge la dili kuzaliwa kumbwani! kumtagato!
 
Leo kazi ipo....😀

Meaning?>.....hii ni true story yooh!...wee subiri watu wa london waje watibitishe hapa...

alafu kuna nyingine jamaa alikuwa anaendesha gari akagongwa kumbuka siyo kosa lake ni kosa mtu mwingine basi mama wa kizungu anashuka kwenye gari amsaidie nini kumpeleka hata hospital maana alikuwa ameumia jamaa alitoka mkuku maana police wakija next he knows atakuwa behind bars...i think wabongo London wanaishi maisha ya kubahatisha sana.
 
Kwa wale wanaoishi Reading in London kuna lile Daraja lipo karibu na shopping mall center moja hivi then karibu kuna Nandos ile daraja kuna mtanzania alikuwa anafukuzwa na Police wa London aliamua kujirusha kule in a cold weather aisee ule mto ulikuwa umeganda akajitupa if ningekuwa mimi kwa kweli ningejisalimisa than kujitupa ndani ya mto si ndiyo natafuta kifo tena huko jamani au?...i think that was a tupid move.

Wewe Kelly01,

Usije ukawa uliniona mimi, napenda kwenda kujichana kuku Nandos, mswahili unajua Tanzania kuku ni dili basi ukija Ulaya kila siku ni makuku tu yaliyojaa sumu, unafikiri mjanja kumbe unajiua taratibu.
 
LOL!....Inawezekana nimekuona maana nimeenda Nandos zote za London hadi ya wes London aisee ila ule msosi wao upo very alright especially yale maini...

Hivi kale ka shopping mall pale reading karibu na Nandos kanaitwaje tena nimeshakasahau aisee...
 
Wewe Kelly01,

Usije ukawa uliniona mimi, napenda kwenda kujichana kuku Nandos, mswahili unajua Tanzania kuku ni dili basi ukija Ulaya kila siku ni makuku tu yaliyojaa sumu, unafikiri mjanja kumbe unajiua taratibu.

Hahahahaaaa, siku branch ya shoprite Kinondoni Studio ilipokuwa ikifunguliwa walitangaza kuwa wateja mia wa kwanza watapata kuku wa bure kila mmoja.

You know what....watu walipanga foleni kuanzia saa kumi na mbili asubuhi kusubiri duka lifunguliwe saa mbili asubuhi hiyo ili wawe katika wateja 100 wa kwanza na wapate kuku wa bure!!!!
 
- Unasema kuzaliwa Dar ni sawa na kuzaliwa Tukuyu, au?

FMES,

Nimecheka sana, yaani Tanzania yote, umeiona Tukuyu tu? Afadhali hata Tukuyu, wengine tulikozaliwa, hata makao makuu ya wilaya tumekuja yafahamu wakati tunaenda secondary school! Wewe wacha tu, watu tumetoka mbali kweli kwi kwi kwi!!!
 
haya nimekubali, naona umeamua kuwaua kabisa watu wa UK...

Oohh no siwauwi kabisa ila hiyo ni reality aisee...i think its interesting..

Mbona huku Marekani kuna jamaa alikuwa ndiyo ameingi kutoka bongo kaenda kuchukulia na marafiki zake airport si unajua ukiwa unatoka airport kuna zile lines kwenye barabara ukipita matairi yanakuwa yanapiga kelele jamaa akawa anawaambia wenzake duuh washikaji naona tairi lina pancha wakamwambia no dude keep insisting kuwa tairi lina pancha simamisheni mazeee alikuwa haelewi kabisa...
 
Back
Top Bottom