Waafrika ndivyo tulivyo?

Waafrika ndivyo tulivyo?

LOL!....Inawezekana nimekuona maana nimeenda Nandos zote za London hadi ya wes London aisee ila ule msosi wao upo very alright especially yale maini...

Hivi kale ka shopping mall pale reading karibu na Nandos kanaitwaje tena nimeshakasahau aisee...

Oracle centre
 
Kuna jamaa waliendaga grocery shopping wakati bado wageni wageni. Sasa hawakuangalia wako aisle gani walipokuwa grocery store. Wenyewe wakaona mivyakula tu ya kwenye makopo na wenyewe hao wakawa wanaweka tu kwenye buggy yao....kurudi nyumbani wanataka kupika ndo mmoja wao akastukia kumbe wamenunua chakula cha paka lakini wao walidhani ni corned beef.....ahahahahahahahaaaa

Haya let's stick to the subject, please
 
Hahahahaaaa, siku branch ya shoprite Kinondoni Studio ilipokuwa ikifunguliwa walitangaza kuwa wateja mia wa kwanza watapata kuku wa bure kila mmoja.

You know what....watu walipanga foleni kuanzia saa kumi na mbili asubuhi kusubiri duka lifunguliwe saa mbili asubuhi hiyo ili wawe katika wateja 100 wa kwanza na wapate kuku wa bure!!!!

Problem ta Tz ndiyo hiyo. Sijui nani kasema kuku ndiyo chakula kule. Hata videmu, ukiwapa lophole kuagiza msosi, utasikia nataka chips kuku....!

Makuku huku unapata kwa Euro 1 na ukivizia supermarket ambazo wateja si wengi kuelekea weekend, utanunua hata wa cent 75.

Kuna jamaa siku hizi nasikia wameanzisha farms za kunenepesha animals tz. Nadhani hawa watasaidia sana kupunguza bei. Hawa ni ex-Zimbabwe wazungu. Wananunua wanyama kwa wamasai, wasukuma na wagogo na kuwafungua, kuwapa foods za nguvu. Then in two months, former owner akiambiwa huyu ndiye yule Ng'ombe wako, hakuna aliyekubali mpaka sasa!

Hawa wataondoa hii kuku and nyama fever in Tanzania!
 
Nakubaliana na Tosh lakini cha kushangaza mmi hapa Marekani nimeshabaguliwa na wanugu utadhani sijui nini...

Ni Historia...Sisi waafrika ni lazima tubadilike sana...Sasa angalia kama rastafarians...Bendera yao wala haina uhusiano na Jamaica..Ni bendera ya Afrika na to be specific Ethiopia...Kuna watu walikuwa fedup na jinsi Afrika inavyoshushwa na kuonekana haifai licha ya utajiri si tu wa rasilimali...Bali pia historia ya dunia...Kwamba hata origin ya mwanadamu ni Afrika.
Lakini nakubaliana sana na Mlalahoi kuhusiana kutofahamika kwa Tanzania...Yani ni lazima useme kama ipo karibu na nchi gani...Lazima uanze tena na wewe kuuliza..Do you know Kenya? Then ndio umwambie kuwa ni nchi jirani ya Kenya ama kusini mwa Kenya nk...Sometime wakuulize kama ni karibu na SA ama la.
Wanugu ndiyo hovyo kabisa tena sijui hata nimlaumu nani lakini ukweli ni kwamba hata wazungu wenyewe inabidi wabadilike na waweke historia ambayo itawafunza vizuri hawa watu maana kuwagawa watu na kuwaconfuse kwa kuwanyima ukweli matatizo yake yatakuja kuwa cost wao bila kujali race...Hilo liko wazi na hata impact yake ipo.
Huwezi kuamini kuwa kuna baadhi ya wanugu ambao hawawapendi waafrika kwasababu wao wanaamini kuwa wale waafrika waliobaki ndio waliwauza wenzao...Sasa sijui nani kawaambia hayo ama ni historia gani wanayosomeshwa.
Binafsi ninapingana sana na steritypes zinazowadhalilisha waafrika.
Mimi ni mwafrika.
Na pia kama Kilimanjaro ndiyo the top in Africa...Then to be specific i am from Kilimanjaro....Nashangaa tunashindwa vipi kuliongoza bara....Ila huko west nako watukutu sana..Esp Wanaigeria...
 
Kuna jamaa waliendaga grocery shopping wakati bado wageni wageni. Sasa hawakuangalia wako aisle gani walipokuwa grocery store. Wenyewe wakaona mivyakula tu ya kwenye makopo na wenyewe hao wakawa wanaweka tu kwenye buggy yao....kurudi nyumbani wanataka kupika ndo mmoja wao akastukia kumbe wamenunua chakula cha paka lakini wao walidhani ni corned beef.....ahahahahahahahaaaa

Haya let's stick to the subject, please

I know this Cameroon guy who did that...yeye alienda grocery kwa nia ya kununua tuna akaenda kununua chakula cha paka...akasema wow america imeendelea sana kumbe hajui kanunua chakula cha paka....i personally know this guy alihadithia mwenyewe ni mkameruni.
 
Oohh no siwauwi kabisa ila hiyo ni reality aisee...i think its interesting..

Mbona huku Marekani kuna jamaa alikuwa ndiyo ameingi kutoka bongo kaenda kuchukulia na marafiki zake airport si unajua ukiwa unatoka airport kuna zile lines kwenye barabara ukipita matairi yanakuwa yanapiga kelele jamaa akawa anawaambia wenzake duuh washikaji naona tairi lina pancha wakamwambia no dude keep insisting kuwa tairi lina pancha simamisheni mazeee alikuwa haelewi kabisa...

Haaaaaaa Kelly01 hiyo story haiwezekani kuwa kweli. LOL... Kwa sababu mbona hiyo mistari hata Bongo imejaa tele. Ipo kibao kuanzia pale Ubongo kuelekea Kibaha, na kuendelea. Na hata kati ya Tegeta mpaka Bagamoyo. Labda pengine huyo mbongo alikuwa "Dar-exit."
 
QM true story aisee hii ilikuwa miaka ya 90's huko ilikuwa siyo mistari perse ila ni zile pums ndogo ndogo sana zipo mostly wakati unakaribia kuingia airport au kutoka (sijui zinaitwaje kwa kweli)....you know what i am talking about sijui kama kila airport zipo.
 
Haaaaaaa Kelly01 hiyo story haiwezekani kuwa kweli. LOL... Kwa sababu mbona hiyo mistari hata Bongo imejaa tele. Ipo kibao kuanzia pale Ubongo kuelekea Kibaha, na kuendelea. Na hata kati ya Tegeta mpaka Bagamoyo. Labda pengine huyo mbongo alikuwa "Dar-exit."

Nadhani Kelly anazungumzia zile ridges zinazofanya gari yako kutikisika na kutoa mlio flani....sijawahi kuziona hizo ridges bongo unless unazungumzia makorongo...lol
 
Oohh no siwauwi kabisa ila hiyo ni reality aisee...i think its interesting..

Mbona huku Marekani kuna jamaa alikuwa ndiyo ameingi kutoka bongo kaenda kuchukulia na marafiki zake airport si unajua ukiwa unatoka airport kuna zile lines kwenye barabara ukipita matairi yanakuwa yanapiga kelele jamaa akawa anawaambia wenzake duuh washikaji naona tairi lina pancha wakamwambia no dude keep insisting kuwa tairi lina pancha simamisheni mazeee alikuwa haelewi kabisa...

No! It is a shear joke! Mbona hapo TZ kuna hizo kitu kibao tu. Ni international thing jamani kwenye highway engineering! Unless huyo jamaa katoka Songea namabengo kabisa. Lakini kuja Dar na kwenda Airport lazima angesikia hiyo milio. Tuache kujudhalilisha mno.......
 
QM true story aisee hii ilikuwa miaka ya 90's huko ilikuwa siyo mistari perse ila ni zile pums ndogo ndogo sana zipo mostly wakati unakaribia kuingia airport au kutoka....you know what i am talking about sijui kama kila airport zipo.

Well, kama ni miaka ya 90's basi hata mimi ningeshangaa. Bongo tulikuwa hatuna vitu hivyo enzi hizo. Hila siku hizi ipo ya kila aina.
 
Nadhani Kelly anazungumzia zile ridges zinazofanya gari yako kutikisika na kutoa mlio flani....sijawahi kuziona hizo ridges bongo unless unazungumzia makorongo...lol

LOL...zipo siku hizi. Morogoro road zimewekwa mpaka maporini huko. Zipo kibao
 
No! It is a shear joke! Mbona hapo TZ kuna hizo kitu kibao tu. Ni international thing jamani kwenye highway engineering! Unless huyo jamaa katoka Songea namabengo kabisa. Lakini kuja Dar na kwenda Airport lazima angesikia hiyo milio. Tuache kujudhalilisha mno.......

Oyaa dogo acha kushabikia kivuli nani anamdhalilisha nani?...hii ni true story babake...miaka ya 90'S Wewe ulikuwa unajua nini na miaka ya 90"s kulikuwa hakuna vitu kama hivyo bongo hakuna mtu anayemdhalilisha mtu yeyote if it happen it happen you know....no hard feelings you know
 
Hizo zilikuwepo kwenye barabara nyingi tu bongo...Mara nyingi huwa zipo soon before big bumps labda watu wengi hapo bongo pia si wasafiri wa mara kwa mara.
 
Hizo zilikuwepo kwenye barabara nyingi tu bongo...Mara nyingi huwa zipo soon before big bumps labda watu wengi hapo bongo pia si wasafiri wa mara kwa mara.

Sina uhakika kama tunzungumzia same things. Bado sidhani kama hizo ridges zilizopo pembeni ya barabara kuku alert kuwa uko nje ya lane (hasa kwenye outer lanes) yako zipo kwenye barabara za bongo. I just don't think so...
 
Mimi nazungumzia ya slow down na si ya ku alert kuhusu kutoka nje ya barabara..Lakini nadhani ujenzi wake ni the same ila madhumuni ni tofauti...Hata kama ujenzi ni tofauti basi itakuwa slight.
Sishangazwi na sisi waafrika ku complicate mambo kwasababu hata maji yanayotumika kwa HEP sisi si tulisema na bado tunasema ni maji yenye chunusi?
 
...Utakuta wabongo huku Marekani ambao wakiulizwa na mtu hususan Mmarekani kuwa wanatoka wapi (where are you from?) wanasema eti wanatoka Jamaica? Kwa nini wanadanganya? Je ni kwa sababu wanaona aibu kusema wanatoka Tanzania ambayo iko katika bara la Afrika au wanadhani kutoka Jamaica ni "cool"? Mimi sielewei kabisa kwa nini baadhi ya watu hudanganya namna hii.

Sasa mtu unadanganya unakotoka ili iweje? Is coming from Jamaica supposed to impress somebody or what? Yaani mtu mzima una umri wa miaka thelathini na kitu halafu bado unaona noma kusema unatokea wapi. Na ikitokea siku umeulizwa na Mjamaica aliyeishi hapa Marekani kwa muda mrefu ambaye hana lafudhi ya Kijamaica na wewe ukasema unatokea Jamaica huoni kama utakuwa unajiadhirisha kwa kuongopa? Maana jamaa atakustukia tu kwa sababu Wajamaica wana lafudhi yao iliyo tofauti kabisa la lafudhi za sisi tunaotokea Afrika.

Nyinyi wabongo mnaoishi majimbo ya New York, New Jersey, Georgia, na Florida kuweni waangalifu sana maana Jamaican massive katika hayo majimbo inawakilishwa vizuri. Watu wanaoishi majimbo kama ya Nebraska, Minnesota, North Dakota, na mengine kama hayo wanaweza ku get away na uongo wao lakini huko kwingine nilikokutaja ipo siku uongo wao utawatokea puani.

Halafu nikisema Miafrika Ndivyo...........mnakasirika.

Leo nimelewa kwa nini WAZANZIBARI siku zote wakiwa nje ya nchi nakulizwa wapi wanatokea husema ZANZIBAR Huwasikii kueleza kuwa wao ni WATANZANIA kumbe sio wao tu wakulaumia hata upande wetu wengi wapo hivyo wao husema jamaica sikuweza amini hili
 
Wazanzibar wana confidence ya kutaja kisiwa chao wakijua kuwa its easy kwa wao kujilipua...na ukiangalia asilimia kuwa especially ya wazanzibar waliokuwa Europe wamejilipua kwa kutumia uraia wao though wengine hawana matatizo hivyo...
 
Sina uhakika kama tunzungumzia same things. Bado sidhani kama hizo ridges zilizopo pembeni ya barabara kuku alert kuwa uko nje ya lane (hasa kwenye outer lanes) yako zipo kwenye barabara za bongo. I just don't think so...

Nyani,

Hao wanaongelea kitu tofauti kabisa. Labda kama wamejenga mwaka huu lakini mpaka 2007 nilipokuwa TZ hakukuwa na hizo ridges. Nafikiri kilichopo bongo ni vile vyuma ambavyo kwa kiasi fulani vinafanya kazi karibu na hiyo lakini si kwa ufanisi mkubwa.

Hizo ridges unazozisema wewe mara nyingi zinakuwa kwenye outer lanes au kwenye barabara kubwa unapokaribia roundabouts. Gari linatikisika utafikiri limepata pancha.
 
Back
Top Bottom