Cjui kwa huko US of A.Ila kwa huku Europe,kuna nyakati tunalazimika ku-refer to other countries kupunguza maswali ya kipuuzi like "Where's Tanzania?". Nasema maswali ya kipuuzi kwa vile wanaouliza wanadhihirisha hawako makini na jiografia ya dunia.However,huwa nashindwa kupata jibu rahisi kwamba kwanini isiwe hivyo kwa Kenya,Zambia,Uganda,etc?Mara kadhaa nimelazimika kueleza kwamba "You know Kenya,right?Then Tanzania iko kusini mashariki kwa Kenya",na mara nyingi hapo ndio wanaelewa.Je kwanini Tanzania haifahamiki kihivyo?
Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi ya hapo.Hivi tumeshajiuliza kwanini Wakenya,for instance,hawaoni haya kuitambulisha kuwa ni Wakenya?Au Wasauzi,Waganda,etc?Jibu la haraka linaweza kuwa kujali utaifa wao.Na hilo tunaweza kulishuhudia hata kwenye majina ya wenzetu.Hata jina liwe gumu kiasi gani,wao wanalo tu (eg Nigerians,South Africans,etc) lakini Wabongo (japo si wote) hupendelea majina "yanayoendana" na wishes zao.Na hilo la identity sio kwenye nyanja za kimataifa pekee tu bali hata kwenye katabia kalikozoeleka kwa wengi huko nyumbani kukana makabila na asili yao ili waonekane "bron town"....kila mtu kazaliwa Ocean Road as if hospitali teule Mbeya au Bugando hakustahili kuwa mahala pa kuzaliwa.
Bottom line is,hao wanaokana u-Tanzania wao nje (i.e. kwa kujitambulisha utaifa mwingine) ni reflection ya mapungufu katika utaifa.