Waafrika ndivyo tulivyo?

Waafrika ndivyo tulivyo?

....xmas zilikuwa sherehe za wapagani,hata bible mambo mengi wametoa kwa hao wapagani....dini is sooooo fake na hakuna cha jesus wala mohamed,utapeli mtupu na akili za watu bado wanaamini kuna judgement day yesu atatokea angani,haiingii akilini eti holy father kuja kuwahukumu watoto wake na kuwachoma moto wa milele...real realllly stupid idea!

ohhhhh,,,, STOP! Give it a break! We are discussing Tanzanians in the diaspora who feign Americans! Not Jesus wala Mohammed. Go back to sqaure one we started please
 
....xmas zilikuwa sherehe za wapagani,hata bible mambo mengi wametoa kwa hao wapagani....dini is sooooo fake na hakuna cha jesus wala mohamed,utapeli mtupu na akili za watu bado wanaamini kuna judgement day yesu atatokea angani,haiingii akilini eti holy father kuja kuwahukumu watoto wake na kuwachoma moto wa milele...real realllly stupid idea!

I doubt your intelligence..

Kama unahisi unao 'utilio' njoo kule kwenye kona maalum..Tuuchanganue huo unadhani kuwa ni 'utilio' ..

I bet your Koba has anything use..

Bua- ha ha haa...
 
...kule niko banned mazee,sijui kwa nini? lakini najua hata nikija kule wewe na wapuuzi wenzako mliochanganyikiwa kama father manning na Osama hakuna kitu tutaelewana,so get a life na hadithi zako za kale kutoka kwa mtume wako Paulo!
 
.....huyu ndio father manning

[media]http://www.youtube.com/watch?v=khuu-RhOBDU&feature=related[/media]
 
...Utakuta wabongo huku Marekani ambao wakiulizwa na mtu hususan Mmarekani kuwa wanatoka wapi (where are you from?) wanasema eti wanatoka Jamaica? Kwa nini wanadanganya? Je ni kwa sababu wanaona aibu kusema wanatoka Tanzania ambayo iko katika bara la Afrika au wanadhani kutoka Jamaica ni "cool"? Mimi sielewei kabisa kwa nini baadhi ya watu hudanganya namna hii.

Sasa mtu unadanganya unakotoka ili iweje? Is coming from Jamaica supposed to impress somebody or what? Yaani mtu mzima una umri wa miaka thelathini na kitu halafu bado unaona noma kusema unatokea wapi. Na ikitokea siku umeulizwa na Mjamaica aliyeishi hapa Marekani kwa muda mrefu ambaye hana lafudhi ya Kijamaica na wewe ukasema unatokea Jamaica huoni kama utakuwa unajiadhirisha kwa kuongopa? Maana jamaa atakustukia tu kwa sababu Wajamaica wana lafudhi yao iliyo tofauti kabisa la lafudhi za sisi tunaotokea Afrika.

Nyinyi wabongo mnaoishi majimbo ya New York, New Jersey, Georgia, na Florida kuweni waangalifu sana maana Jamaican massive katika hayo majimbo inawakilishwa vizuri. Watu wanaoishi majimbo kama ya Nebraska, Minnesota, North Dakota, na mengine kama hayo wanaweza ku get away na uongo wao lakini huko kwingine nilikokutaja ipo siku uongo wao utawatokea puani.

Halafu nikisema Miafrika Ndivyo...........mnakasirika.

Afu nasikia watu wanabadilisha majina hili ya-sound kikristo au kizungu. Kuna mtu jina lake ni Yahaya. Lakini anajihita Johaness. Mwingine John Kamazima. Lakini atadondosha jina ukoo na kutumia John Livingston. Wanasema majina kama yanasaidia kwenye makaratasi au kupata kazi.

Sijuhi ukweli wake lakini accent na ngozi huwezi kuvifuta.
 
Kuhusu makaratasi sidhani labda kwenye kazi. Na kwenye kazi ni pale kwenye pigiwa simu tu na ku set up appointment. Sidhani kama utapewa kazi tu eti kwa vile jina lako lina sound Anglo-Saxon....
 
...kule niko banned mazee,sijui kwa nini? lakini najua hata nikija kule wewe na wapuuzi wenzako mliochanganyikiwa kama father manning na Osama hakuna kitu tutaelewana,so get a life na hadithi zako za kale kutoka kwa mtume wako Paulo!

Punguza jazba na acha lugha chafu na kufananisha watu na fashist osama ndugu yako.
 
....xmas zilikuwa sherehe za wapagani,hata bible mambo mengi wametoa kwa hao wapagani....dini is sooooo fake na hakuna cha jesus wala mohamed,utapeli mtupu na akili za watu bado wanaamini kuna judgement day yesu atatokea angani,haiingii akilini eti holy father kuja kuwahukumu watoto wake na kuwachoma moto wa milele...real realllly stupid idea!

Koba au Mkoba, inaonekana una upungufu wa kufikiria. Njoo kwenye jukwaa tukufu tukunyweshe juisi ya pilipili.
 
Kiboko wa Obama huyo.....

Sioni ukiboko wowote zaidi ya jamaa kuwa looooser wa kawaida. Obama ni Rais wa US of A na jamaa bado anakalia kigoda.

Kwataarifa yako, jamaa anapapatikia Wazungu, hana mpango wowote wala chochote. Inaonekana na wewe ni hivyo hivyo wa kuona wazungu bora kuliko Waafrika.
 
Koba au Mkoba, inaonekana una upungufu wa kufikiria. Njoo kwenye jukwaa tukufu tukunyweshe juisi ya pilipili.

Hivi na wewe uko kule kwa kina MaxShimba? Na ni kweli Pundit kakimbia na hataki kurudi tena?
 
Afu nasikia watu wanabadilisha majina hili ya-sound kikristo au kizungu. Kuna mtu jina lake ni Yahaya. Lakini anajihita Johaness. Mwingine John Kamazima. Lakini atadondosha jina ukoo na kutumia John Livingston. Wanasema majina kama yanasaidia kwenye makaratasi au kupata kazi.

Sijuhi ukweli wake lakini accent na ngozi huwezi kuvifuta.

Kwanini usimuulize huyo Yahaya kisa cha kubadilisha jina lake, na kuamua kuleta upuuzi wako hapa?

Kama Yahaya anaona jina lake kusound Kikristo ni bora, kama ulivyo dai, basi Ukristo ni bora kuliko Uislam.
 
Hivi na wewe uko kule kwa kina MaxShimba? Na ni kweli Pundit kakimbia na hataki kurudi tena?

Jukwaa la dini si la MaxShimba, labda linaongozwa na Max na Mtindiowaubongo lakini si lao peke yao. Pundit ni kweli kanyweshwa juisi ya pilipili na kakimbia bila viatu, na inasemekana hataki kuridi tena huko. Kusema ukweli, jamaa hawa ni mabingwa na wana uelewo mkubwa sana wa dini. Hilo lazima tukubali.

...huna mpya umechanganyikiwa tuu na wewe kama Father manning!

Poor M-koba, pole sana. Inaonekana umekosa la kufanya na kuamua kutolea jazba zako hapa. Hivi hiyo tube ya Manning ni nani kaleta hapa? Kumbe ndiko unakojifunzia upuuzi wako!

Mirembe itajaa mwaka huu.
 
Jukwaa la dini si la MaxShimba, labda linaongozwa na Max na Mtindiowaubongo lakini si lao peke yao. Pundit ni kweli kanyweshwa juisi ya pilipili na kakimbia bila viatu, na inasemekana hataki kuridi tena huko. Kusema ukweli, jamaa hawa ni mabingwa na wana uelewo mkubwa sana wa dini. Hilo lazima tukubali.

Duh! kakimbia bila viatu...ahahahahahahaa...kweli hiyo juisi kiboko...
 
Na ndugu zake akina darwin na kanga wananyweshwa juisi katika jukwaa la elimu. Wao, wamegoma kwenda jukwaa la dini, lakini Max anawapa dozi bila huruma huko.
 
...dozi gani wewe father manning na vitabu vyako vya hadithi za kale? ngoja niombe wanifungulie kule nije niwape education maana mko gizani bado.
 
Sasa wewe elimu yako ni ya mwaka gani, naona ni ya mwaka kesho. Hivyo tusubiri ufike mwaka kesho, nenda shule halafu njoo tukunyweshe juisi ya pilipili bila huruma.

Mimi binafsi naisubiri sana hiyo education ya kutowa watu gizani, ila usikimbie kama wenzako, maana wenzako walikuwa kama wewe na wote wakakimbia tena bila viatu.

Ila wewe naona utarushia watu viatu.
 
Loooser Manning hivi kumbe naye anawapenzi. Koba natanguliza pole zangu. Wewe Koba umekosa wa kuweka hapa JF na kuleta huyo looooooooser?

Kaaazi kweli kweli. Koba kariku kwenye dini.
 
Back
Top Bottom