Waafrika ndivyo tulivyo?

Waafrika ndivyo tulivyo?


Loooser Manning hivi kumbe naye anawapenzi. Koba natanguliza pole zangu. Wewe Koba umekosa wa kuweka hapa JF na kuleta huyo looooooooser?

Kaaazi kweli kweli. Koba kariku kwenye dini.

...Mac Daddy Manning!
 
Labda ana uraia wa kuforge otherwise sioni logic ya kuukana uraia wako ata kama kwenu kuna madudu kibao.
Be proud of your country bwana
 
Wabongo wa Asia hasa Kuala Lumpur mara nyingi ukiwakuta katika mitaa ya Bangsar hupenda kujitambilisha kuwa wanatoka USA...

Bila kusahau wabongo wanaoishi Japan, hukana u-Tz wao na kusema wanatokea USA. Mkataa kwao ni mtumwa!
 
...kule niko banned mazee,sijui kwa nini? lakini najua hata nikija kule wewe na wapuuzi wenzako mliochanganyikiwa kama father manning na Osama hakuna kitu tutaelewana,so get a life na hadithi zako za kale kutoka kwa mtume wako Paulo!

Naona unaanza kuwa defensive, ..Wee njoo tu kule uthibitishe madai yako ili 'utusaidie' sisi wenye mtindio thats it!.(the reverse is also true)

Karibu..
 
Unadanganya halafu ili iweje?Kwasababu,ninavyojua mimi nafsi itakusuta tuu.Halafu unakuta unaulizwa na mtu ambaye hujui huko unapokuona wewe bora sijui South Africa,Jamaica;je ukikuta katika hiyo nchi yeye ndiyo kwao/amewahi kuishi huko kwa miaka kadhaa.Huo kama utakuwa umeadhirika mtu mzima hovyoooo!
Uzalendo ni kitu cha msingi sana na kama kweli tungekuwa/tukiwa wazalendo hata haya mambo ya ufisadi tungekuwa tunasikia tu sehemu zingine.
 
china wabongo kibao wanachiti kuwa WA-YU-ES-I, ili kupiga dili za kufundisha lugha!!!
 
mtindo huu unatoka wapi? je wamegunduwa mbinu ya kuingia ktk system ni kutangaza ushidi kabla ya matokeo rasmi ili kuundwe mseto?
 
Hehehehehe...tatizo ni ndivyo tulivyo....


teh teh teh teh teh
Jk na Mkapa wetu wanafanya kazi nzuri sana wala hakuna ubishi hapo

yule RAILA wa kenya hivi unajuwa amewatosa wale jamaa waliobeba mapanga kumwingiza ktk utawala??

Eti nimesikia RAILA anaelekea kuwatosa akina WILLIaM RUTA sijui Bruto yule WORYA wake wa RIFT VALLEY kule kwa wakalejing?
Nasikia siku hizi Raila anapitisha yale aliyokuwa anayapinga siku zote.
 
Hao hao walikuwa wanasifia uchaguzi wa ghana walisema ni mfano wa kuigwa afrika leo imekuwa hivi
 
Hao hao walikuwa wanasifia uchaguzi wa ghana walisema ni mfano wa kuigwa afrika leo imekuwa hivi


Ndio hapo kazi inapoaanza,siku wa siku itafika na kugundua tz inafanya the BEST.Na kinachotakiwa si kurusha madongo bali tuwe wazalendo tuwakosoe wanapokosea na tufanye kazi kwa pamoja kama wazalendo tulio na uchungu na taifa letu.

Nawala tusipende mashinikizo ama sifa zinazotoka nje ya nchi nakuziona ndio mitazamo mwanana badala yake tuangalie mambo yetu kwa mitazamo yetu wenyewe hapo taifa litasonga mbele kwa mwendo wa rocketi.
 
Will the suffering of Africans never end? It often seems not.

In fact, in the past decade the suffering has grown steadily worse. Africa is the only region of the world whose people ended up poorer at the end of the 1980s than they were at the beginning...

War continues to rake the continent, and it is a special kind of war - endless, back-and-forth factional fighting that tears apart civil society and leaves anarchy in its train. Rwanda and Somalia are the best-known examples. There are plenty of others: Liberia, where armed groups have raped, looted and slaughtered at will for more than four years; Sudan, where fighting between the Islamic government in the north and animist rebels in the south has cost an estimated 1.3 million lives; Angola, where government and rebels have been locked in off-and-on combat for years...

Hunger, disease, war. Africa's travails are so great it is tempting to write if off as a hopeless case, destined to plunge deeper and deeper into misery even as the rest of the world surges forward.

That would be a mistake. However daunting, none of Africa's troubles are insuperable. In fact, there are at least a few signs of hope.

One is the death of socialism. Almost without exception, African countries have ended the disastrous 30-year experiment with collectivized agriculture, central planning and closed economic borders.

From Tanzania to Nigeria, governments have privatized state companies, lifted price and trade controls and freed exchange rates. According to the World Bank, incomes have climbed steadily in the countries that stuck firmly to the path of economic reform...

Another hopeful sign is the spread of democracy. More than half of the 48 countries in sub-Saharan Africa have either held or promised to hold competitive elections.... Democracy, of course, is not a panacea. In some countries, it has aggravated ethnic tensions as parties form along tribal or regional lines. Some elected leaders have proven as venal and inept as their self-appointed predecessors. But in the long run, democracy offers far better odds of competent, accountable government than what came before.

Hope must be tempered by realism... Given all its handicaps, Africa seems likely to be the world's poorest, most violent region for a long time to come.
 
Capitalism is not the re-birth of Africa. Especially capitalism where we believe that investors are our liberators. Examples are everywhere--Nigeria to Tanzania. A few are getting richer playing lackeys or agents to western or foreign corporates who are mining our natural resources at giveaway prices. The majority are becoming poorer and poorer.
 
Back
Top Bottom