atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,821
- 3,618
Ourselves in this threadHerself, himself, itself and ourselves.
Ourselves in this threadHerself, himself, itself and ourselves.
Thread got 3dOurselves in this thread
3D inamaanisha Dully sykes, Dimpoz na DiamondThread got 3d
Wazungu wanatuibia rasilimali zetu bara la AfricaDiamond za mwadui wanazifaidi wazungu
Africa imekuwa sehemu ambayo vijana hawaiamini kama inaweza kuwatoa kimaishaWazungu wanatuibia rasilimali zetu bara la Africa
Akili ni nywele kila mtu ana zakeAfrica ni bara lenye neema nyingi lakini wanaopata uongozi ndo hawahisi mali za nchi zinavyochukuliwa,wanazidiwa akili
Mkuu super market nipm nikuulize kitu na shida naweAkili ni nywele kila mtu ana zake
Mzia, chafi, ngisi, pweza na dagaa wadogo wadogoPapa, jodari, nduwaro na mzia
Watamu ukila na kachumbari na ugaliWadogo wadogo cku zote ndo watamu