Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Wanawake wana haki nne au kadha juu yetu, kama mana zetu,dada zetu,binty zetu ,bibi zetu na Shangazi zetu kabla ya kuwa wenza !!!!
Kuwa wenza wa pili katika ndoa kunahitaji uvumilivu kwa wanawake, Mwanaume ukiwa na uwezo na fedha kuoa wake wanne ni sunna
 
Gugo hapana... Humu humu watajitokeza wa kunisaidia maana ya Sunna
Sunna hiyo hapo
e18f1fc488b78ab0294a0777873feb34.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Nielekeze na Mimi ukishaelekezwa

Mie mwenyewe mgeni kwenye hizo ishu za Sunna
Ishu za sunna ipo hivi: kwa kifupi waislam tunafuata mafundisho ya kiingozi Mtume Muhammad(SAW): sasa ukifuata utaratibu na kufanya kama alivyofanya yeye alivyotufundisha ndio SUNNA,

mfano yeye alioa wake zaidi ya mmoja, sasa mimi au ZZ tukioa wake 2 au wa4 tumefuata Sunna.
 
Back
Top Bottom