Ijae hadi full hapo ikishaanza kumwagika tutafaulisha mtungini.....Seva Bado Lita ngapi ijae??
Mtungini imeingia dudu.Ijae hadi full hapo ikishaanza kumwagika tutafaulisha mtungini.....
Dudu mwenye sumu auliwe papohapo, La sivyo atawadhuru wakazi wa hapo !!Mtungini imeingia dudu.
Hapo auliwe kama mwizi achomwe motoDudu mwenye sumu auliwe papohapo, La sivyo atawadhuru wakazi wa hapo !!
Moto unawaka msituni na kuteketeza miti na vichaka !!Hapo auliwe kama mwizi achomwe moto
Vichaka vina nyoka wana sumu kali pamoja na chatuMoto unawaka msituni na kuteketeza miti na vichaka !!
Chatu nadhiran kuonekana wakati wa mchana kama nyoka wengine....Vichaka vina nyoka wana sumu kali pamoja na chatu
Nyoka wengine ni wadogo lakini wana sumu kali hatariChatu nadhiran kuonekana wakati wa mchana kama nyoka wengine....
Hatari kujenga nyumba kandokando ya mito na miferji ya maji !!Nyoka wengine ni wadogo lakini wana sumu kali hatari
Maji ya baraka hufukuza majini!Hatari kujenga nyumba kandokando ya mito na miferji ya maji !!
Majini tulitumbukia baada ya kumtumbwi wetu kupinduliwa na mawimbi....!!!Maji ya baraka hufukuza majini!
Mawimbi ya bahari yameongezeka upepo unaovuma ni mkaliMajini tulitumbukia baada ya kumtumbwi wetu kupinduliwa na mawimbi....!!!
Mkali wetu ni Amiri jeshi kiongozi wa nchi aliyebobea uzalendo na utekelezaji halisi bila upendeleo...Mawimbi ya bahari yameongezeka upepo unaovuma ni mkali
Bila upendeleo shindano la miss Tanzania limeishaMkali wetu ni Amiri jeshi kiongozi wa nchi aliyebobea uzalendo na utekelezaji halisi bila upendeleo...
Limeisha usiku wa jana bila kutangazwa hadharani.....Bila upendeleo shindano la miss Tanzania limeisha
Hadharani mambo huwekwa kuepuka malumbanoLimeisha usiku wa jana bila kutangazwa hadharani.....
Hadharani mambo huwekwa kuepuka malumbanoLimeisha usiku wa jana bila kutangazwa hadharani.....
Hadharani mambo huwekwa kuepuka malumbanoLimeisha usiku wa jana bila kutangazwa hadharani.....
Malumbano ya nini ikiwa itifaki imezingatiwa na kusainiwa upande zote bila ajizi....??Hadharani mambo huwekwa kuepuka malumbano
Hadharani mambo huwekwa kuepuka malumbano