supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Bila ajizi amekubali kuolewa mke wa piliMalumbano ya nini ikiwa itifaki imezingatiwa na kusainiwa upande zote bila ajizi....??
Bila ajizi amekubali kuolewa mke wa piliMalumbano ya nini ikiwa itifaki imezingatiwa na kusainiwa upande zote bila ajizi....??
Pili ni yule binti mrembo atakaehudhuria kinyang'anyiro hapo jukwaani.....Bila ajizi amekubali kuolewa mke wa pili
Jukwaani alipandishwa Christian bella kutumbuiza mashabikiPili ni yule binti mrembo atakaehudhuria kinyang'anyiro hapo jukwaani.....
Mashabiki wengi team kiba, kingkiba anawajali na watakua wote fiesta!Jukwaani alipandishwa Christian bella kutumbuiza mashabiki
Mashabiki wengi huliwa pesa zao na wasanii uchwara.., kwa kucheleweshewa muda !!!Jukwaani alipandishwa Christian bella kutumbuiza mashabiki
Fiesta 2016 imooooo!! Kwa udhamini wa tigoMashabiki wengi team kiba, kingkiba anawajali na watakua wote fiesta!
Siku hizi ukijiunga kifurushi cha internet kinaisha harakaTigo ni mtandao wa kijinga sana siku hizi
Haraka haraka aina barakaSiku hizi ukijiunga kifurushi cha internet kinaisha haraka
haraka ifanyike kumwita mzazi weke huyu mtoto asijefia hapa uchochoroni....Siku hizi ukijiunga kifurushi cha internet kinaisha haraka
Uchochoroni kuna mtaro wa maji machafu unaotokea kiwandaniHaraka
haraka ifanyike kumwita mzazi weke huyu mtoto asijefia hapa uchochoroni....
Kiwandani kuna michirizi ya maji na mafuta yaliyotumika ktk mtambo wa kupozesha Boiler !!!Uchochoroni kuna mtaro wa maji machafu unaotokea kiwandani
Mtambo wa kupozesha boiler ni chakavu iwekwe mitamba mipya ya kisasaKiwandani kuna michirizi ya maji na mafuta yaliyotumika ktk mtambo wa kupozesha Boiler !!!
Kisasa teknologia hii itatugharimu maana lazima ifuatane na wataalamu waloisomea, wakati siye hatuna elimu ya minajili ya uendeshaji.....Mtambo wa kupozesha boiler ni chakavu iwekwe mitamba mipya ya kisasa
Uendeshaji na uzalishaji katika viwanda inahitaji wataalamuKisasa teknologia hii itatugharimu maana lazima ifuatane na wataalamu waloisomea, wakati siye hatuna elimu ya minajili ya uendeshaji.....
Shida kubwa ipo TFFUendeshaji wa timu za kibongo kama masufuria fc ni shida
TFF hii ya MalinziShida kubwa ipo TFF
Mlinzi ni mchezaji mmoja tu ktk timu yenye wachezaji 18 wakiwemo marisevu 7, hapo huwezi kumtwisha lawama mmoja bali kundi lote liwajibishwe.....TFF hii ya Malinzi
Liwajibishwe kwa kuchapwa vibokoMlinzi ni mchezaji mmoja tu ktk timu yenye wachezaji 18 wakiwemo marisevu 7, hapo huwezi kumtwisha lawama mmoja bali kundi lote liwajibishwe.....