supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Janga la tetemeko lililowapata ndugu zetu wa kagera na vifo bila kutegemea ni janga kubwa na funzo ni lolote linaweza kutokea kwani hakuna anaejua keshoHii ni fadhila tosha adhimu na neema tuliyopendelewa mbele ya wengi waliyo nyimwa au hata kutofikiriwa robo yake.. Lakini ufujaji wetu umekuwa janga !!!