medsebapol
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 327
- 225
Bado ata alijaingia bao lolote kwa aseno naona mkeka wangu unachanika vibaya mnoWasha taa giza limeingia
Bado ata alijaingia bao lolote kwa aseno naona mkeka wangu unachanika vibaya mnoWasha taa giza limeingia
Vibaya mno unapo tegemea kusimamiwa ma serikali yako hatimaye unajikuta umetuowa mkono na kuachwa mjini ukitapatapa '!!Bado ata alijaingia bao lolote kwa aseno naona mkeka wangu unachanika vibaya mno
Kuchanganikiwa mwaka huu imekuwa jambo la kawaida kwangu kwanza paper ilikuwa ngumu, matokeo mabaya, chuo kibovu, mkopo hakuna dah!!!!!Ukitapatapa kifikra hutokoswa kuchanganikiwa
Dah! Kumbe mko wengi msiojiandaa vilivyo kufaulu mitihani!Kuchanganikiwa mwaka huu imekuwa jambo la kawaida kwangu kwanza paper ilikuwa ngumu, matokeo mabaya, chuo kibovu, mkopo hakuna dah!!!!!
Mitihani ya kilimwengu haitosimama au kutokomea.. ni lazima kukabiliana nayo mubashara !!!Dah! Kumbe mko wengi msiojiandaa vilivyo kufaulu mitihani!
Mubashara kipindi kinarushwa kuzungumzia changamoto za vijanaMitihani ya kilimwengu haitosimama au kutokomea.. ni lazima kukabiliana nayo mubashara !!!
Vijana hawa wetu hawahitaji bla bla au siasa nyingi Vijana wa sasa wanataka kuona matendo au kushuhudia miundombinu ilokamilika ili wajitume vilivyo....Mubashara kipindi kinarushwa kuzungumzia changamoto za vijana
Vilivyozungumzwa na serikali vitafanyiwa kazi hatua kwa hatuaVijana hawa wetu hawahitaji bla bla au siasa nyingi Vijana wa sasa wanataka kuona matendo au kushuhudia miundombinu ilokamilika ili wajitume vilivyo....
Hatua moja mbele lakini hatua tano nyuma...Vilivyozungumzwa na serikali vitafanyiwa kazi hatua kwa hatua
Changa la macho hiloHatua moja mbele lakini hatua tano nyuma...
ikiwa bado tuna viongozi "Zilipendwa" nchi inahitaji viongozi wepya na damu changa.....!!
Linavutia haswa ukaliremba kwa maua mazuri ndani, au kwa kupaka rangi angavu gari lakoHilo mbona linavutia
Zamani haina thamani, tutazame ya leo na tupange mikakati ya kesho kwani ulimwengu haurudi nyuma tena., Tutafakari namna ya kupambana na hizi changamoto !!!Pili ntakapo pata nafas ya kukutana na jpm ntamwomba ccm ijitenge iwe tanu kma zaman
Changamoto ni nyingi katika serikali yetu kama mvuvi bahariniZamani haina thamani, tutazame ya leo na tupange mikakati ya kesho kwani ulimwengu haurudi nyuma tena., Tutafakari namna ya kupambana na hizi changamoto !!!
Baharini kuna upepo wa kusini na kaskazini unapokuwa ndani ya jahazi unapaswa kushiriki ubaharia chombo kikisukumwa kwa kasi.....Changamoto ni nyingi katika serikali yetu kama mvuvi baharini