Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Ulaya ina maendeleo ya kimaisha kutokana na Sera za siasa madhubuti bila kubebana...Usingizini unaweza kuota umejenga nyumba ulaya
Ulaya ina maendeleo ya kimaisha kutokana na Sera za siasa madhubuti bila kubebana...Usingizini unaweza kuota umejenga nyumba ulaya
Kubebana kulikuwa kwingi sana awamu ya nne hapa Tanzania katika kazi na siasaUlaya ina maendeleo ya kimaisha kutokana na Sera za siasa madhubuti bila kubebana...
Siasa zilizopitwa na wakati ni hizi za kikabila,kiduni na za kiSwahiba ambazo tumezikumbatia bila staha !!!!!Kubebana kulikuwa kwingi sana awamu ya nne hapa Tanzania katika kazi na siasa
Staha maana yake ni nini?Siasa zilizopitwa na wakati ni hizi za kikabila,kiduni na za kiSwahiba ambazo tumezikumbatia bila staha !!!!!
Nini kilichokusibu mpaka hujui maana ya staha?Staha maana yake ni nini?
Staha ipo na watu ni wavumilivu na kuheshimiana katika jamiiNini kilichokusibu mpaka hujui maana ya staha?
Jamii huwa na uvumilivu na amani pindi upewapo elimu ya kutosha...Staha ipo na watu ni wavumilivu na kuheshimiana katika jamii
Kutosha kwa sera zenye mpangilio na zinazoendana na uhalisia wa jamii inayotuzunguka ni pongezi kubwa kwa serikaliJamii huwa na uvumilivu na amani pindi upewapo elimu ya kutosha...
Serikali hujitahid kuboresha maisha ila bado hali ngumu sijui hata kwaniniKutosha kwa sera zenye mpangilio na zinazoendana na uhalisia wa jamii inayotuzunguka ni pongezi kubwa kwa serikali
Kwanini serikali isiwe na vipaumbele vya kutosha katika kuhakikisha maisha ya mtanzania yanakuwa bora?Serikali hujitahid kuboresha maisha ila bado hali ngumu sijui hata kwanini
Bora hata wewe umeliona hlo mana kila kukicha afadhali ya janaKwanini serikali isiwe na vipaumbele vya kutosha katika kuhakikisha maisha ya mtanzania yanakuwa bora?
Jana tulienda kulima shambaBora hata wewe umeliona hlo mana kila kukicha afadhali ya jana
Shamba ckuizi halilip mana mazao hayauzikiJana tulienda kulima shamba
Hayauziki sababu ya soko hakuna, wakulima wengi wamepata hasara mwaka huuShamba ckuizi halilip mana mazao hayauziki
Huu mwaka hakuna lamana linalofanyika mana kila sekta inalalamikiwa labda tusubiri mwakani mambo yanaweza kuwa mazuriHayauziki sababu ya soko hakuna, wakulima wengi wamepata hasara mwaka huu
Yanaweza kuwa mazuri kama serikali na wananchi wataamua kushirikiana kwa pamojaHuu mwaka hakuna lamana linalofanyika mana kila sekta inalalamikiwa labda tusubiri mwakani mambo yanaweza kuwa mazuri
Inakula kwetu...? Shaur yako we goma usukumwe na magar washaKwa pamoja wanafunzi wote tukishirikiana kushinikiza serikali ya magu itupe mikopo utatupa tuu; ila tukileta utani imekula kwetu.
Washa taa giza limeingiaInakula kwetu...? Shaur yako we goma usukumwe na magar washa
Limeingia kwa kuwa jua lishazama...Washa taa giza limeingia