Nanoli
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 3,739
- 5,978
Sana sana wenye kawaida hiyo ni watoto wa kitaa kile ndo nawaonaga wakipiga chabo, ila wa huku kwetu hawanaga hizo.Huzuni na majonzi ni mitihani ya Mungu. Mungu ailaze maala pema roho ya marehemu Shangazi wa kubwa lao. Pole sana
