Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Huu ubingwa tutakukabidhi bila wewe kushinda, Kweli wewe hutaona aibu kupokea..?Atunwagie historia..? We subiri historia mpya ya mimi kuwa mshindi katika mchezo huu
Huu ubingwa tutakukabidhi bila wewe kushinda, Kweli wewe hutaona aibu kupokea..?Atunwagie historia..? We subiri historia mpya ya mimi kuwa mshindi katika mchezo huu
Nyonyo ndiyo iliyotunyonyesha na kutukuza kwa miezi 24, tunapaswa kuweka heshima zaidi kwa mama zetu kabla ya mtu mwengine yeyote, jamani tuache dhihaka..!!kupokea bila aibu ndo sifa ya mwanaume, aibu sifa ya wale wenye nyonyo
Wapi ntakapopewa tunzo yangu ya ushindi jamaniSisimizi anafanya kazi wapi

Lini? Ndo Leo na ni muda huuJamani ndege mpya wanazindua lini
Lini? Tena unauliza lini pitisha macho kwenye runinga uone mzee anavyozindua ndege mda huuJamani ndege mpya wanazindua lini
Much thanks to ULini? Ndo Leo na ni muda huu

U and me kama Chanda na peteMuch thanks to U![]()
Pete inakua na thamani pale mwanaume anapomvisha mwanamkeU and me kama Chanda na pete
Siku hz wapo wenye kujua thamani yao na nafasi zao ktk ndoa na mahusianoMwanamke gani, hawa wa siku hz