nanya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 672
- 523
erikson ex coach wa englandWega wee gawa tu, siku moja utalipa gharama au utakodisha Erikson !!
erikson ex coach wa englandWega wee gawa tu, siku moja utalipa gharama au utakodisha Erikson !!
england hawajui mpira tatizo sio kocha.erikson ex coach wa england
kocha ilianza na kacha kecha kicha kocha inamalizika na kucha.england hawajui mpira tatizo sio kocha.
kocha ilianza na kacha kecha kicha kocha inamalizika na kucha.
sana kinyume chake ni NASA wale jamaa wanaohusika na mambo ya setelaiti space na vitu ka hizo ama nenekucha zangu ndefu sana
nene yangu.sana kinyume chake ni NASA wale jamaa wanaohusika na mambo ya setelaiti space na vitu ka hizo ama nene
yangu pia nenenene yangu.
Nunu ni kitoto kichanga kizurizuri hivi... umetokea kuandika nunu bila kujua???nene nini nono nunu![]()
![]()
kujua kila kitu ni ngumu mkuu cha muhimu ni kujua a little bit of everything.Nunu ni kitoto kichanga kizurizuri hivi... umetokea kuandika nunu bila kujua???
Everything you see don't trust.. "even salt looks like Sugar"kujua kila kitu ni ngumu mkuu cha muhimu ni kujua a little bit of everything.
sugar mamyEverything you see don't trust.. "even salt looks like Sugar"
kibabebabe ndo madem wanapenda ingawa JF wanajidai kuponda, eti wanataka gentleman.mjegeja uwe wa kibabe