AlphaPii
JF-Expert Member
- May 15, 2015
- 1,169
- 1,853
wimbo wa taifa naupenda sanaGere mama gere.....huu wimbo uliwika enzi hizo nani anaukumbuka huo wimbo
wimbo wa taifa naupenda sanaGere mama gere.....huu wimbo uliwika enzi hizo nani anaukumbuka huo wimbo
taifa hili ni la kipekeeSana sana unaimbwa tu ila haupewi uzito unaostahili kama wimbo wa taifa
moja,mbili,tatu na kuendeleaKipekee kwa kuwa Tz ni moja
Udhaifu wa kupokea rushwa kupelekea raia kukosa hakiUmasikini umeletwa na serikali ya ccm dhaifu
Haki ya mtungi shahidi kataUdhaifu wa kupokea rushwa kupelekea raia kukosa haki
Kata yetu diwan hajui chochote kuhusu kucmamia maendeleoHaki ya mtungi shahidi kata
Maendeleo hayawezi kuletwa na mtu mmoja ni lazima tushirikiane kwa pamojaKata yetu diwan hajui chochote kuhusu kucmamia maendeleo
Chini ya mpera kuna maembehajacheza kwasababu ana kiwango cha chini
ukoo wao siupendiMaembe ni ukoo wa kabila gani maana kuna jamaa anaitwa vital maembe sasa sijui kama ni ukoo.
Siupendi lafudhi aitoayo Waziri katika kongamano za kijamii...ukoo wao siupendi
kijamii forums ni kiforum kizuri sanaSiupendi lafudhi aitoayo Waziri katika kongamano za kijamii...