Tuta la kaburi lako nimeshalipalilia limebaki kuchomekea msalaba !!!!!ushindi ndo nishaupata hapa ni kushangilia tu
Kwake napafahamu lakini sikupelekim ng'o !!! sitaki ushahidi.....msalaba kila mtu atabeba wa kwake
Dodoma huko ntakuunganisha na swahiba !!!dar-es-salaam nishahama zamani niko moro muda mrefu natanguliaga dodoma
swahiba huyo ni me au keDodoma huko ntakuunganisha na swahiba !!!