HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,669
Zilipotea nyingi,utaweza kulipangapi hizo pesa zilizopotea
Zilipotea nyingi,utaweza kulipangapi hizo pesa zilizopotea
uungwana ni kupunguza kipande cha nyama mwiliniKulipa ni wajibu na uungwana.
Mwilini mwangu kuna maungo ya kishababi yaitwayo six packs !!!uungwana ni kupunguza kipande cha nyama mwilini
Zeeka hujui kuwa "uzee mwisho chalinze" mjini sote Baby cool !!!Six packs! Unatoa wapi wakati usha zeeka
Magari siku hizi yanapatika kwa bei nafuu..packs mimi nilijua zile za kukaa magari
Nafuu sana lakini bado hauwezi kumiliki.Magari siku hizi yanapatika kwa bei nafuu..
kumiliki uhai wako ndio mpangoNafuu sana lakini bado hauwezi kumiliki.
Mpango wa kughushi na kupindisha pindisha sheria ndo unaongiza kwa watumishi idarani...kumiliki uhai wako ndio mpango
muhimu sana kuoa mapemaSana tu, ndio maana uhakiki wa vyeti ni muhimu
Mapema yote hii lijamaa limelewa
Chapombe analia kuambiwa na daktari kuwa watoto wote si wakebaada ya kupimwa DNALimelewa mapema yote hii? Daah kweli jamaa ni chapombe
Chapombe analia kuambiwa na daktari kuwa watoto wote si wakebaada ya kupimwa DNA