Khalidoun
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,834
- 4,460
Pombe ni neno lenye utata
Utata wa vikindu umetawala Anga la Tanzania
Pombe ni neno lenye utata
Tanzania ni nchi yenye watu wakarimu sana
Umerithishwa , tena unatembea kizazi kwa kizazi
Mkarimu ni yule mja aisekuwa na ubinafsi...Kizazi chema Cha waja wema tujaaliwe na Mola Alie Mkarimu
Kizazi changu ni pacha kwa pacha....Umerithishwa , tena unatembea kizazi kwa kizazi
Kuongea kijerumani au kuongea kiarabu kulitamalik hapa nchini ktk miaka ya 1875 leo hii hakuna ajuae hizo lugha !!!!!!Pacha wako namfaham mmefanana mpaka kuongea
Mjerumani wee unastahili kujiita chuma, Mie najiita gogo !!Lugha ya kijerumani nimeipenda hata vitu vyao ni imara ndo maana nikajiita chuma cha mjerumani
Kitu hakina thamani kuliko utu wa mtuNidokeze nini wewe google utaona kila kitu