chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,118
- 22,506
Hutothaminika kama matonya?
Hutothaminika kama matonya?
Amani Amani ..Amani ina misingi yake kuzingatiwa !!!Yangu na wewe tuipende inchi yetu na kulinda amani
kuruka ukuta wa shule ni uvunjifu wa sheriaKuzingatiwa kama unywaji wa dawa za mseto hutakiwi kuruka.
Zivunjwe?..zikivunjwa zitamwadhibu mvunjaji
akujengee kivipi wakati idadi yetu ni kubwa sana.. Sisi ndiyo tuwajibike kujenga Taifa lenye viwanda !!!Mwananchi ni vema kuijenga nnchi na si kusubiri Rais akujengee
Viwanda vya sukari au?akujengee kivipi wakati idadi yetu ni kubwa sana.. Sisi ndiyo tuwajibike kujenga Taifa lenye viwanda !!!
Simba wa hifadhi gani?Wapinzani wa yanga ni simba
Gani sounds like gun !!! Simba wa TsavoSimba wa hifadhi gani?