Zuleykha
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 1,413
- 2,145
Inakuaje pale unapotaka kulia halafu machozi yamegoma kutoka?Pua za wazungu ndefu kwenye kunywa chai sijui inakuaje
Inakuaje pale unapotaka kulia halafu machozi yamegoma kutoka?Pua za wazungu ndefu kwenye kunywa chai sijui inakuaje
Magufuli amefanya uamuzi wa busara kwa makao makuu ya serikali kuhamishia DodomaUkuta kwa chadema kwa ccm ni Umoja KUmpongeza MAgufuli
Uone cha mtema kuni kama sio kilichomtoa kanga manyoaTU ni kifupi cha tazama uone
Maforonya laini ni ya sufi
Pwani ina upepo mwingi kutoka baharini