mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Makini uwe kwenye kila jambo unalofanyaBiashara inahitaji kuwa makini
Makini uwe kwenye kila jambo unalofanyaBiashara inahitaji kuwa makini
Biashara inahitaji kuwa makini
Unalofanya hapa liwe linaunda sentensi sahihi ya kiswahili.Makini uwe kwenye kila jambo unalofanya
Duniani kuna watu wanapigana vita kila siku
Bidaa maana yake ni nini Khalidoun?
Uendelee ?sawa
Kawa teja kwelikweliUshindi Kama kawa
Kawa teja kwelikweli
kweli, nimekubali kabisaKwelikweli ni ishara ya msisitizo uliouweka kwenye neno kweli
Unachokinena ni cha karne ya 15 sasa hivi ni karne ya 21 aka .com centuryKweli ni kumuaminisha mtu kwa unachokinena.
Kweli ni kumuaminisha mtu kwa unachokinena.
Kweli ni kumuaminisha mtu kwa unachokinena.
Unachokinena kinapaswa kiendane na matendo yako, usinene usilolitenda