Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Africa ni bara lenye rasilimali nyingi na nguvu kazi lukuki....Tanzania ndiyo kuna mlima mrefu kuliko yote Africa.
Africa ni bara lenye rasilimali nyingi na nguvu kazi lukuki....Tanzania ndiyo kuna mlima mrefu kuliko yote Africa.
Lukuki??!! Eti nguvu lukuki, au nimekusoma vibaya?Africa ni bara lenye rasilimali nyingi na nguvu kazi lukuki....
Vibaya hebu fafanua kwani umemuelewaje muadham ZZ kwa kuandika neno Lukuki?Lukuki??!! Eti nguvu lukuki, au nimekusoma vibaya?
Lukuki, nguvu lukuki walizonazo watz ni za kutafuta watoto sio kuzalisha mali.Vibaya hebu fafanua kwani umemuelewaje muadham ZZ kwa kuandika neno Lukuki?
Kazi bongo ni nyingi tabu ya bongo ni kulalamika.Mali lukuki hupatikana Kwa kufanya kazi
Kulalamika ni moja ya kushindwa kimawazo na kuvunjika moyo wa kujituma.....Kazi bongo ni nyingi tabu ya bongo ni kulalamika.
Kulalamika lalamika hakutatufikisha popoteKazi bongo ni nyingi tabu ya bongo ni kulalamika.
Mukarama mtebetini naona imeeleweka....Vibaya hebu fafanua kwani umemuelewaje muadham ZZ kwa kuandika neno Lukuki?
Popote ukivunja sharia utawajibishwa na siajaabu ukaadhibiwa.....Kulalamika lalamika hakutatufikisha popote
Ukaadhibiwa kwa viboko na kifungo juuPopote ukivunja sharia utawajibishwa na siajaabu ukaadhibiwa.....
Juu ya kueleweka kwa Lukuki nimeridhia Muadham ZZ maelezo yapo sawiaUkaadhibiwa kwa viboko na kifungo juu
Sawia Mwenyeezi Mungu akujazi kheri na akupe wasaa wa dunia utanuke na neema za akhera ustarehe.....Juu ya kueleweka kwa Lukuki nimeridhia Muadham ZZ maelezo yapo sawia
Ustarehe nawe kwa maisha mazuri duniani na huko akhera tuendakoSawia Mwenyeezi Mungu akujazi kheri na akupe wasaa wa dunia utanuke na neema za akhera ustarehe.....
Popote nitakutafuta mpaka usainiKulalamika lalamika hakutatufikisha popote
Tuendako tushaelimishwa kwa ujio wa Mtume SAW, sasa yetu ni amali njema ipasavyo....Ustarehe nawe kwa maisha mazuri duniani na huko akhera tuendako
Sawia na yote naomba kuuliza swaliJuu ya kueleweka kwa Lukuki nimeridhia Muadham ZZ maelezo yapo sawia
Swali unaruhusiwa kuuliza hakuna pazia baina yangu na yako katika kuniulizaSawia na yote naomba kuuliza swali
Swali lako waweza uliza tafadhaliSawia na yote naomba kuuliza swali
Tafadhali naomba kujulishwa zawadi ya ushindi napewa liniSwali lako waweza uliza tafadhali