amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Oyeeeee, sisi ni mbele Kwa mbeleWasindikizaji oyeeeeeee...
Oyeeeee, sisi ni mbele Kwa mbeleWasindikizaji oyeeeeeee...
Oyee.. tutambeba juu kwa juu hadi wakwee zake wamdake
Kiuno cha bugwi ni mtindo wa kisasaWamdake tu ila wasimuangushe avunjike kiuno...
kisasa music band nawaKubali sana awa jamaaKiuno cha bugwi ni mtindo wa kisasa
Kiuno cha bugwi ni mtindo wa kisasa
Dodoma ina umaarufu...Kisasa jina la mtaa huko Dodoma...
Jamaa waliokamatwa walikuwa wanahatia....kisasa music band nawaKubali sana awa jamaa
Wanahatia kweli au maneno tu ya watu...Jamaa waliokamatwa walikuwa wanahatia....
Watu wakisema ujue lisemalo lipo... hapa dola ina taarifa za kina na uhakika....Wanahatia kweli au maneno tu ya watu...
uhakika haupatikanki kwa chuki na dhanaWatu wakisema ujue lisemalo lipo... hapa dola ina taarifa za kina na uhakika....
Dhana haitakuwepo kama uchunguzi mahili utachukua nafasiuhakika haupatikanki kwa chuki na dhana
Watu wakisema ujue lisemalo lipo... hapa dola ina taarifa za kina na uhakika....
Nafasi za kiintelijensia huongozwa kwa utaalamu na ufanisi wa hali ya juu, hapo upelelezi ushakamilikaDhana haitakuwepo kama uchunguzi mahili utachukua nafasi
Maamuzi ni kuanza kuvamia na kuwadhibiti.....Uhakika muhimu sana kabla ya maamuzi...
Kuwadhibiti mbu ni kuweka chandarua wakati wakulala hasa nyakati za usikuMaamuzi ni kuanza kuvamia na kuwadhibiti.....
Usiku huzaa siku ukiamka vizuri mshukuru MunguKuwadhibiti mbu ni kuweka chandarua wakati wakulala hasa nyakati za usiku
Usiku huzaa siku ukiamka vizuri mshukuru Mungu
Yote ayo n maajabu yakeMungu mkubwa, hushinda yote...
Yake imekuwa historia kwa kuwa ni ya kaleYote ayo n maajabu yake
Yake imekuwa historia kwa kuwa ni ya kale