Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Asilani si Fulani bali ni @Zulyekha ndo aliyoyanena,,,,,,Asilani sintokaa kumsahau kwa aliyoyanena
Aliyoyanena ni mmoja wao baada ya mashuhuda kumuumbua......
Asilani si Fulani bali ni @Zulyekha ndo aliyoyanena,,,,,,Asilani sintokaa kumsahau kwa aliyoyanena
Kumuumbua kivip wakati alishakata tiketiAsilani si Fulani bali ni @Zulyekha ndo aliyoyanena,,,,,,
Aliyoyanena ni mmoja wao baada ya mashuhuda kumuumbua......
Kumuumbua kivip wakati alishakata tiketi
Mashairi Na Ngonjera tushachoka, sasa ni Kazi TUTiketi ya kwenda wapi tena bibie Au ZZ Na Mtebetini wame (Kitwanga)Na mashairi
Tu ni tunga tu ni tuta... tu kwa kimombasa ni duburi...Mashairi Na Ngonjera tushachoka, sasa ni Kazi TU
Tu,tulieni niwatajieni mshindiMashairi Na Ngonjera tushachoka, sasa ni Kazi TU
Mashairi Na Ngonjera tushachoka, sasa ni Kazi TU
Tu,tulieni niwatajieni mshindi
Wapi nilipokuwa ndio mnauliza?? Jibu nilikuwa kibaruani busy kubeba maboxTu tulijuwa mpita-njia atarudi.Ngonjera Na Mashairi sijui kasikia wapi
Wapi nilipokuwa ndio mnauliza?? Jibu nilikuwa kibaruani busy kubeba mabox
Ukifanyacho ndiyo ukitendacho bila kukashifu.....Mabox mbona wengi tunabeba.Raha ya maisha kufurahia ukifanyacho
Ukifanyacho ni chema na kinajidhihirishaMabox mbona wengi tunabeba.Raha ya maisha kufurahia ukifanyacho
Kinajidhihirisha kwa sababu ni cha halali wala haikuwa magendoUkifanyacho ni chema na kinajidhihirisha
Kinajidhihirisha kwa sababu ni cha halali wala haikuwa magendo
Mno tena huwa nzuri haswa unapoamua kukabiliana na pilika za maishaAmani katika maisha ni jambo la kulifurahia mno
Mno tena huwa nzuri haswa unapoamua kukabiliana na pilika za maisha
Maisha ya zamani yalikuwa na wema kuliko maisha ya sasa yenye usanii....Mno tena huwa nzuri haswa unapoamua kukabiliana na pilika za maisha
Utapendwa na fungu la watu na utachukiwa na fungu lingine.....Maisha Ni mazuri ukiishi Kwa Ukweli,Kujiamini Na kujipenda.Wahenga walisema ukijipenda utapendwa
Maisha ya zamani yalikuwa na wema kuliko maisha ya sasa yenye usanii....