mwenyewe ndio mimi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 347
- 212
Mihogo ikiwa haiivi kikwetu tunaita chelemaMirambo Tabora kunalimwa mihogo
Mihogo ikiwa haiivi kikwetu tunaita chelemaMirambo Tabora kunalimwa mihogo
Chelema ikichemshwa na mawe yataiva mawe mihogo itadodaMihogo ikiwa haiivi kikwetu tunaita chelema
Samaki wa maji ya chumvi ni wakubwa kuliko wa kwenye Mito na MaziwaItadoda kama samaki
Akiba haioziHalisi hushindwa na mazingira yasiyokuwa na akiba......
Haiozi na ikioza hainukiAkiba haiozi
Hainuki labda itakuwa inanukiaHaiozi na ikioza hainuki
Hainuki labda itakuwa inanukia
Makubwa na yana kina kirefu mfano ziwa Tanganyika kwenye MigebukaInanukia harufu nzuriwa Samaki wakubwa walio vuliwa katika maziwa makubwa
Dodoma ni wapi hapa Tanzania..?Migebuka ni samaki wanaopendwa sana na hasa sehemu za mikoa ya kanda ya kati hususan dodoma
Tanzania ni nchi iliyopo Africa ya Mashariki Dodoma ndiyo Mji Mkuu wake wenyeji wa mji huo ni wagogo wakiongozwa na chief MgogooneDodoma ni wapi hapa Tanzania..?
Taifa lolote hujengwa kwa upendo
Upendo upo kwa mzazi lakini Taifa linahitaji kupambana na kushindana ktk kukuza ukuwaji !!Taifa lolote hujengwa kwa upendo
Ukuwaji wa kuku wa kisasani tofauti na kuku wa kienyejiUpendo upo kwa mzazi lakini Taifa linahitaji kupambana na kushindana ktk kukuza ukuwaji !!
Kienyeji ni nadra sana kukidhi umma huu kwa hali hii yenye kuongezeka kila kukicha...Ukuwaji wa kuku wa kisasani tofauti na kuku wa kienyeji
Kukicha tuu huamkia kibaruani mpaka nipate uhakika wa kula mchana ndio hurudi hapa ndani kuonana nanyi wakuuKienyeji ni nadra sana kukidhi umma huu kwa hali hii yenye kuongezeka kila kukicha...
Wakuu wa alwatan wanakupa heko na taadhima kwa kujituma ndg. mwenyewe ndio mimi unastahili....Kukicha tuu huamkia kibaruani mpaka nipate uhakika wa kula mchana ndio hurudi hapa ndani kuonana nanyi wakuu
Unastahili kupokea shukrani zangu za dhati kutoka moyoni mwangu ndugu zamiluni zamiluni kwa kutambua uwajibikaji wanguWakuu wa alwatan wanakupa heko na taadhima kwa kujituma ndg. mwenyewe ndio mimi unastahili....