mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Kujifunika kwa blanketiBaridi lina hitaji jotojoto kujifunika....
Kujifunika kwa blanketiBaridi lina hitaji jotojoto kujifunika....
Kujifunika kwa blanketi
Kipupwe kipo Mbeya mwenye afya tete huko asisogee....Blanketi ni mujarabu sana hasa katika kpnd hiki cha msimu wa baridi ya kipupwe.
Hili ni Taifa lenye amani na wananchi wake ni watiifu....Asisogee mtu yeyote aliyeaga jukwaa hili
Watiifu wote wakiitwa jamiiforums hasa jukwaa hili la MMUHili ni Taifa lenye amani na wananchi wake ni watiifu....
Valentina ni dada yako? kweli ni mrembo hivyo tutafunga unasaba !!Watiifu wote wakiitwa jamiiforums hasa jukwaa hili la MMU
Na mimi nimo kwa kweli na dada yangu Valentina.
Unasaba ndiyo nini?Valentina ni dada yako? kweli ni mrembo hivyo tutafunga unasaba !!
Nini kilichokusibu ndg yangu Mmmmh Kiswahili lugha mama hujui unasaba basi uliza hapo alwatani...Unasaba ndiyo nini?
Nini kilichokusibu ndg yangu Mmmmh Kiswahili lugha mama hujui unasaba basi uliza hapo alwatani...
Sanii mauhiba, na kila binaadamu anao uwezo na kipaji.....Alwatani Kifimbocheza ni mpambanaji wa wachafuzi wa lugha ktk gazeti la Sani.
Kipaji ni uwezo wa kufanya jambo kwa urahisi kushinda wenzakoSanii mauhiba, na kila binaadamu anao uwezo na kipaji.....
Wenzako wapo wapi Ndg. mtebetini nimekumiss, nilipata kamsafara....Kipaji ni uwezo wa kufanya jambo kwa urahisi kushinda wenzako
Kurudi umerudi ZZ sawa mbona hutukuagana?kamsafara ulikoenda wewe umewahi kurudi
Kurudi umerudi ZZ sawa mbona hutukuagana?
Shari ni hulka ya wanyama wa kali lakini sisi ni waunguwana.......Hatukuagana kwa heri hivyo namba tuachane kwa shari.
Waungwana wanaojua maana ya heri na Shari hatuwezi kugombanaShari ni hulka ya wanyama wa kali lakini sisi ni waunguwana.......