mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Dawa za Magonjwa ganiHawajali hata kama hospital hazina dawa
Dawa za Magonjwa ganiHawajali hata kama hospital hazina dawa
Mgonjwa gani leo hajapata usingiziDawa za Magonjwa gani
Usingizi tuliolala sisi hapa Tanzania ni ule wa fofo !! hata wakenya wameushtukiaMgonjwa gani leo hajapata usingizi
WameushtukiaUsingizi tuliolala sisi hapa Tanzania ni ule wa fofo !! hata wakenya wameushtukia
kumbe upo eeehhh leo una jipya?

Wameushtukia![]()
![]()
kumbe upo eeehhh leo una jipya?
![]()
![]()
![]()
Sukari kuna hujuma inafanywa na wafanya biashara na hakuna lenye mwanzo likakosa mwishoJipya ni kuhusu sukari
Mwisho wangu kuishi Tanzania ni leoSukari kuna hujuma inafanywa na wafanya biashara na hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho
Leo wanajamvi wapo kimya naona uwanja haujanogaMwisho wangu kuishi Tanzania ni leo
Haujanoga maana huoni huyu Mainus atakajitosa baharini akidai leo mwisho wake!! sijui ndiye aliyeficha sukari huyu !!!Leo wanajamvi wapo kimya naona uwanja haujanoga
Haujanoga maana huoni huyu Mainus atakajitosa baharini akidai leo mwisho wake!! sijui ndiye aliyeficha sukari huyu !!!
Nani kakwambia aliyeficha hajulikanaHuyu aliyeficha ni nani
Tena leo Arusha kuna baridi
Baridi likizidi sio zuriTena leo Arusha kuna baridi
Zuri lake ni pale kwenye kilma kuna bonde .....Baridi likizidi sio zuri
Baridi lina hitaji jotojoto kujifunika....Tena leo Arusha kuna baridi