ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
Kazi ilikuwa ngumu kukesha macho
Macho yakiwasha kwa kukesha, muone daktari...
Kazi ilikuwa ngumu kukesha macho
Dakatari kanipima na kunipa dawa ya kunywa na vidonge .....Macho yakiwasha kwa kukesha, muone daktari...
Feki imekithiri kuingia nadi ya soko kwa kuwa hakuna udhibiti maalum, na wahusika hupokea rushwa...Vidonge vingi vya Panadol Siku ni feki
Haki haipatikani mpaka kwa ncha ya upangaRushwa ni adui wa haki
Upanga Siku hzi kumekuwa mji wa wa Hindi
Hindi watu wa bara la Asia
Dunia nzima hata wachina wapoAsia ni mbali sana lakini watu wake wametapakaa dunia nzima...
Dunia nzima hata wachina wapo
Kuku wanaofuga aina ya KuchiWapo hadi vijiiini wanafuga hadi kuku
Kuchi nitampata wapi nami nifuge mmojaKuku wanaofuga aina ya Kuchi
Mmoja unaweza kupata ila bei yake mkuu ipo juu kulikoni hawa wakawaidaKuchi nitampata wapi nami nifuge mmoja
Wakawaida siku hizi hata WaAfrika wametapakaa Duniani kote huoni rais wa America ni BH Obama nae......Mmoja unaweza kupata ila bei yake mkuu ipo juu kulikoni hawa wakawaida
Mwekezaji ni yule apendae kupata masilahi yake na kuwafaa wenye rasilimali, Lakini siasa za panya huwakosesha wote kiuzembe....!!Nae akistaafu uraisi wa Marekani atakuja kupumzika kwao Kenya awe mwekezaji
Hawajali hata kama hospital hazina dawaKiuzembe uzembe tu mwanangu sio siri, watu wanaumia wao wala hawajali...