Turnoff
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 764
- 913
kutoondoka kwenye huu mchezo umenifanya nichelewe nyumbaniMengine yakiongezwa yatasababisha lori kuto ondoka....
kutoondoka kwenye huu mchezo umenifanya nichelewe nyumbaniMengine yakiongezwa yatasababisha lori kuto ondoka....
Kasi hii ya muheshimiwa ikiendelea wapo watakao kimbia hii nchikama yalivyo mabas ya mwendo kasi
Nyumbani ni mbali na kazini basi baki ulale hoteli....kutoondoka kwenye huu mchezo umenifanya nichelewe nyumbani
ruwaida ruwaida ndo chakula ganiKasi ya nini ndugu yangu mwendo uwe ruwaida ruwaida......
Nchi hii ukikimbia wewe na lwako watakuja wa kenya na kuishi....Kasi hii ya muheshimiwa ikiendelea wapo watakao kimbia hii nchi
Gani usilolijua Turnoff wewe hujui lugha uitumiayo mjiniruwaida ruwaida ndo chakula gani
hoteli nikilala nahabuba tenda nigombaNyumbani ni mbali na kazini basi baki ulale hoteli....
Nigomba la mdizi au mtafuna mirungi yote ni haramu.....hoteli nikilala nahabuba tenda nigomba
hii nnchi ishakua na neema nyingiKasi hii ya muheshimiwa ikiendelea wapo watakao kimbia hii nchi
Nyingi sihoja Quality ni bora kuliko Quantity hivo vizuri kujipanga.....hii nnchi ishakua na neema nyingi
na kuishi kwingi ni kuona mengiNchi hii ukikimbia wewe na lwako watakuja wa kenya na kuishi....
Mengi R. ni mmoja wa raia mwema hapa nchini hujitolea sana kwa jamii......na kuishi kwingi ni kuona mengi
jamii forum imenifanya niwe na tabasam muda woteMengi R. ni mmoja wa raia mwema hapa nchini hujitolea sana kwa jamii......
Jamii haina matumaini na serikali iliyopo madarakaniMengi R. ni mmoja wa raia mwema hapa nchini hujitolea sana kwa jamii......
Madarakani kila aingiae hataki kutoka mpaka kwa mbindeJamii haina matumaini na serikali iliyopo madarakani
m'mbinde haswa watatolewa na anko maguMpinde haswa
m'mbinde haswa watatolewa na anko magu
Magu katumbua jipu tena Leo hi hi habri umeipatam'mbinde haswa watatolewa na anko magu