Mainus
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 295
- 238
majipu lazima yatumbuliwe na wakafanye shereheMagu anazidi kutumbua majipu
majipu lazima yatumbuliwe na wakafanye shereheMagu anazidi kutumbua majipu
wakafanye sherehe kwa nyimbo za maombolezomajipu lazima yatumbuliwe na wakafanye sherehe
Sherehe walipie wao lakini.majipu lazima yatumbuliwe na wakafanye sherehe
maombolezo yasiwe na vikolombwezo.wakafanye sherehe kwa nyimbo za maombolezo
Lakni hakuna jipya ukawa walisha waambia tokea 2015Sherehe walipie wao lakini.
Lakni hakuna jipya ukawa walisha waambia tokea 2015
2015 mwaka utakao kumbukwa kwenye historia ya TanzaniaLakni hakuna jipya ukawa walisha waambia tokea 2015
Tanzania bila umaskini inawezekana kabisa2015 mwaka utakao kumbukwa kwenye historia ya Tanzania
Madarakani ni sehemu iliyo na dhamana kubwa sana unapaswa kuitendea haki....Jamii haina matumaini na serikali iliyopo madarakani
Kabisa haitowezekana kuondokwa na umasikini na magonjwa sugu na ujinga sababu viongozi wana ubinafsi........Tanzania bila umaskini inawezekana kabisa
Haki huwezi kuletewa kama sinia la Pilau kwenye shughuli ya msiba/harusi inatakiwa kuipiganiaMadarakani ni sehemu iliyo na dhamana kubwa sana unapaswa kuitendea haki....
Ubinafsi wa viongozi hawakuzui wewe mwananchi wa kawaida kufanya shughuri zakoKabisa haitowezekana kuondokwa na umasikini na magonjwa sugu na ujinga sababu viongozi wana ubinafsi........
Kupigania kwa kalamu na midahalo ni bora kuliko kujikurupusha kuvunja sharia, itakula kwa wanyongeeee!!!Haki huwezi kuletea kama sinia la Pilau inatakiwa kupigania
Zako zitabaki kuwa zako kama ni namba... ila wakiwamba watazitoza kodi na kukutuhumu.....Ubinafsi wa viongozi hawakuzui wewe mwananchi wa kawaida kufanya shughuri zako
Hii nchi inapendaga kufedhehesha na kudhihaki kwa njia media.....Kukutuhumu vavae hawata weza maana ulikua ni waziri mkuu wa nchi hi
Media ya ukweli ni JFHii nchi inapendaga kufedhehesha na kudhihaki kwa njia media.....
Kabisa leo hamtaki kulalaTanzania bila umaskini inawezekana kabisa
JF JiFinye... utoe joto lako ukitaka elimu ipo ukitaka mfedheheko upo.....Media ya ukweli ni JF