mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Maana gani hata mi sijui hiyo msingi kiuno"Msingi kiuno", hivi huu usemi una maana gani?
Maana gani hata mi sijui hiyo msingi kiuno"Msingi kiuno", hivi huu usemi una maana gani?
"Kiuno kanipa mama", utawasikia wengine wanaimba.Maana gani hata mi sijui hiyo msingi kiuno
Wanaimba nyimbo ambazo hazipendezi masikioni"Kiuno kanipa mama", utawasikia wengine wanaimba.
Masikioni zinaweza kuwa hazipendezi ila machoni tamu balaa.Wanaimba nyimbo ambazo hazipendezi masikioni
Balaa ni tatizo au mkosi ambalo jamii haitakiwa kulipendaMasikioni zinaweza kuwa hazipendezi ila machoni tamu balaa.
Kulipenda boga na ua lako ndio mpango mzimaBalaa ni tatizo au mkosi ambalo jamii haitakiwa kulipenda
Mzima wapi mbona boga lenyewe lipo kipandeKulipenda boga na ua lako ndio mpango mzima
Kipande cha leo kinaishia hapa wanajamvi nawatakia usingizi mnono Mungu atulaze salama natuamke salama sasa ni saa 03:30 usiku.Mzima wapi mbona boga lenyewe lipo kipande
Kipande cha leo kinaishia hapa wanajamvi nawatakia usingizi mnono Mungu atulaze salama natuamke salama sasa ni saa 03:30 usiku.
Kumekucha kwa wote nami naendeleza libenekeSasa!!kwa wengine kumekucha
Kumekucha kwa wote nami naendeleza libeneke
Mzima wapi wachangiaji wote hoi... walikesha harusini....Libeneke ndio mpango mzima...
Harusini wapi nani kasema?Mzima wapi wachangiaji wote hoi... walikesha harusini....
Kasema wanajamvi wote muwahi kuhudhuria ukumbini....Harusini wapi nani kasema?
Ukumbini kwenyewe michosho... Nilitarajia kitu biriani Kuku... Kumbe ni soda kekiKasema wanajamvi wote muwahi kuhudhuria ukumbini....
Keki zenyewe zilivyo okwa zimekuwa kama mkate wa kumimina.Ukumbini kwenyewe michosho... Nilitarajia kitu biriani Kuku... Kumbe ni soda keki
Kumimina zege baada ya kutandaza nondo....Keki zenyewe zilivyo okwa zimekuwa kama mkate wa kumimina.
Nondo zenyewe hazina viwango vya uhakikaKumimina zege baada ya kutandaza nondo....
Uhakika wa mishahara utakuwepo baada ya watumishi hewa kuumbuliwa....Nondo zenyewe hazina viwango vya uhakika