mwenyewe ndio mimi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 347
- 212
Tutabarikiwa bila kuonyesha juhudi zetu kwanza?Banaa tumejitahidi sana sana lakini wapi... labda tuufyate na kuwa wapole hapo tutabarikiwa!!
Tutabarikiwa bila kuonyesha juhudi zetu kwanza?Banaa tumejitahidi sana sana lakini wapi... labda tuufyate na kuwa wapole hapo tutabarikiwa!!
Tutabarikiwa pale tutakapoanza kufanya mambo kama watu wenye akili timamu.Banaa tumejitahidi sana sana lakini wapi... labda tuufyate na kuwa wapole hapo tutabarikiwa!!
Timamu ni aliyetimia kwenye kufikiria akili ikatuliaTutabarikiwa pale tutakapoanza kufanya mambo kama watu wenye akili timamu.
Ikatulia kiasi cha kupitilizaTimamu ni aliyetimia kwenye kufikiria akili ikatulia
kupitiliza kwa uzuri wa mwanamke nako ni shiiiiiiiida kwa kweliIkatulia kiasi cha kupitiliza
Kweli wachangiaji wa uzi huu wamelala ?kupitiliza kwa uzuri wa mwanamke nako ni shiiiiiiiida kwa kweli
Wamelala!!!!! Wapo macho kodo ila wanamihanjo mingineKweli wachangiaji wa uzi huu wamelala ?
Mingine niliyopeleka huko shambani yatanifaa baadaeWamelala!!!!! Wapo macho kodo ila wanamihanjo mingine
Baadae yenyewe isizidi sana isije ikageuka jipuMingine niliyopeleka huko shambani yatanifaa baadae
Jipu nililokuwanalo Rais JPMagu keshalitumbua nimebakia na kovu......Baadae yenyewe isizidi sana isije ikageuka jipu
Kwanza ukisha achwa kaa chini ujipange jinsi ya kuanza maisha mapyakuachwa hauta kua wa kwanza
Nyuma ya booty kuna tairi la speamaisha mapya hurudisha maendeleo nyuma
"Spea taya" si ndivyo wanavyoita ee?Nyuma ya booty kuna tairi la spea
Wanavyoita ee kina nani?"Spea taya" si ndivyo wanavyoita ee?
Nani, yule wa mchezaji wa zamani wa Man U hivi alipotelea wapi?Wanavyoita ee kina nani?
Wapi na lini,saa ngapi,kwanini ni maswali hayana msingiNani, yule wa mchezaji wa zamani wa Man U hivi alipotelea wapi?
"Msingi kiuno", hivi huu usemi una maana gani?Wapi na lini,saa ngapi,kwanini ni maswali hayana msingi